HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hoja yako ni ukweli πŸ’―
 
Haya mambo ya kazi za contract magumu sana. Pale Temeke kuna mtendaji wa mtaa kafanya kazi kwa contract miaka 12 anarenew tu. Siku walivyomwambia basi kaondoka na muhuri wa ofisi na bado alikuwa anaendelea kuzunguka maeneo ya nje ya ofisi hataki kukubali
 
Ninachofahamu kila kazi ina contract. Au kuna tofaut na hapo?
 
Hiyo balaa, na wananchi unakuta hawajui kua mwamba kazi imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…