HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa ukitaka kujiuliza tu?Kuna jambo nyuma ya pazia(watu wapo wanaotetea) 2022 TMO(TRA) mwaka jana waliitwa oral chini 580 idadi ilikuwa wanahitajika watu waliowapangia kazi 500+, 2023 TMO Waliitwa watu 700 oral waliopangiwa 187.

Baada ya hapo ndo likafuata tangazo la Mhagama tutawapangia vijana vituo vya kazi kwa budget 2020/2021.....
 
Mama(rais) anakazi sanaa kwa wateule wake!Inatakiwa afanye mamuzi maguma bila kumtazama usoni mtu!!!Kunakijana anatafuta hata ajira ya mwaka mmoja apate capital yakufanya biashara hapati!!!
 
Kafanya kazi kwa muda wote huo wanashindwa kumconfirm kwenye kazi bongo bhanaa..
 
Bajeti 2020/2021?????
 
PSRS ni majizi majizi majizi makubwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…