HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bro umekua wakala mzuri sna wa psrs baada ya kulamba mrija 🤣
 
Jobless na mlamba asali kuongea lugha 1 ni jambo gumu kidgo ila ushauri mzuri mkuu
 
jamani naomba niulize kitu. hivi majina kwenye database yanakaa kwa muda maarumu na kufutwa au...? alafu mfano mtu akaitwa na taasisi furani kwa simu akiambia jina lakotumetoa utumishi kwenye database alafu mwishoe kapeleka viambatanisho vyake akaambiwa atapigiwa cm mwisho wasiku baada ya kufatilia anaambiwa hajaitwa kwakuwa hana vigezo wakati vitu alivyo peleka vyote vilikua kwenye account ya utumishi hii imekaaje mnahisi..?
 
Eleza Kwa uwazi,kama ni wewe elezea na Taasisi husika kila kitu Ili tujue uhalisia.....
 
kama walikuwepo database mliwaita kwenye usaili wengine kwanin. vichwa panzi nyie

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mkuu namie unaniweka katika kundi la watoa Ajira?

[emoji3][emoji3][emoji3] So funny....! Brother kuwa makini sana, Mental illness is Real

Me nilikuwepo Dodoma Feb kama mkandwaji na nakuhakikishia tu kuwa nilikandwa kisawa sawa

Tukumbuke kuwa kufanya kazi serikalini ni haki ya kila Mtanzania ila sio lazima kila mmoja wetu apate ndomana kuna hizo interview

Sasa kama mtakuwa mnaweka matarajio makubwa sana mtaishia kuona kila mtu kama ni mchawi wenu
 
NB: mleta uzi aliuliza kwanini utumishi wanachelewesha placement
 
Ulipo rudi utumishi walikuambiaje?au hukurudi kuulizia kulikoni?
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
 
Kwa hiyo SS ivi jina likitoka kwenye placement na tukichunguza kwenye list ya written hayupo, inatulazimu tukubali TU ni database.

Psrs sawa tumeshawaelewa endeleeni na huo wizi wakishamba
 
Kaa chonjo mkuu tunaweza kukuibukia tuje tukuchunguze ufanisi wa utendaji kazi wako.[emoji3][emoji3][emoji3]

Jinsi unavyowasajili Importers, unavyoregister drugs, unavyo run pre-clinical studies n.k kama unafuata Acts zote zinazohusika.
Sema weakness mojawapo ya waaguzi ni kutafuta sana makosa.


Yaani mkaguzi asipokukuta na kosa anaona hajafanya kazi.
 
Kwa hiyo SS ivi jina likitoka kwenye placement na tukichunguza kwenye list ya written hayupo, inatulazimu tukubali TU ni database.

Psrs sawa tumeshawaelewa endeleeni na huo wizi wakishamba
Mkuu me mwenyewe ni msaka mrija wa Asali kama mlivo nyie na wengine, tatizo lenu mtu akiwa na mawazo tofauti na yenu anageuka kuwa Adui yenu
 
Taasisi ndo inapeleka taarifa zako baada ya ukaguzi wa vyeti.
Kazi nzima ni taasisi husika wanafanya kwa weledi na ufanisi wa Hali ya juu kumtafuta mtu au watu wanao wahitaji Kwa ajili ya kuleta tija kwenye taasisi zao,

PSRS wamekuja kujipachika TU apo kwa ajili ya POSHO yan,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…