Kabisa mzee tutafute namna na kuufikisha kunakohusika huu uzi aiseeNa uhakika waliolamba Asali 80% hawatahangaika na hizi harakati.
Ktk Maisha mtu akichoropoka huwa haangalii huko nyuma. Anasahau yote. Binafsi NYUNDO zitaendelea kwa hawa JAMAA mpk ipatikane ahueni.
Twitter nina Acc 2 wacha nifanye Automation ya tweets tutafika tu nyundo tu.
Jobless na waliolamba Asali pigeni Nyundo mambo ya vijana yaende.
Lengo la uzi ni kutaka kujua nini kinaendelea huko utumishi baada ya oral kinachopelekea placement kuchelewa. Mleta uzi alilenga katika mjadala utaoweza ibua sababu zinazopelekea ucheleweshwaji wa placement baada ya oral.Ndugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....
Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.
Kwamba hii ndo itawafanya waache kuchelewesha placement?Badala ya kuwapa lawama PSRS nadhani tungeendelea na ule utaratibu wa zamani wa kupeana tips on how tunaweza kupata asali.
Vijana wa aina hii ni hatari sana wakipata madaraka, huyu alikua kinara hapa ku-quote psrs kila kukicha kuhusu placement, leo amekua mtoa nasaha watu wajipange, anaona kila aliekosa nafasi hakujipanga vizuri kwa mtazamo wake.Bro umekua wakala mzuri sna wa psrs baada ya kulamba mrija π€£
Naona malegend wameamua waje wao kama wao coz hh show imeonekana ngumuHumu mnafanyiana mapinduzi [emoji23]
Pole sana afandeWakuu hakuna mwenye madini kidogo ya WCF acha tuhamishie nguvu uku sasa maana polisi uko washafanya yao ndoige tayari
Bunge sijafatilia ila nahisi ipo..muhimu sana hii kwa wasaka ajira,halafu mkuu bunge halina account twitter?
Alooo hatari sana mkuu ngoja tujaribu na uku napoPole sana afande
Kuna ubaya gani wa msahiliwa kuuliza feedback baada ya muda mrefu kupita bila info yoyote toka kwa aliyemsahili ? ,Au ndio traditions zetu wabongo ,wazee wa roho nyeusiHata mimi pia kwenye private orga.. moja iv niliulizaga wakaniundia sababu ikaishia hapo.
Wana jf watafuta keki ya taifa,tuungane kupush agenda hii kwa watawala hali ni mbaya sana kwa vijanaBunge sijafatilia ila nahisi ipo..
Nashauri Area za ku target ni:-
1 Waziri mhusika aliyedanganya watu
2- Mheshimiwa Rais (huyu aone aliyempa dhamana kadanganya watu)
3- Katibu (Makatibu wote wakuu wawili) ndio watendaji.
4- IKULU (Vipepeo wapeleke mezani)
5- Wanaharakati.
6- MBUNGE Aliyerise ile hoja pale bungeni ile siku.
7- TAESA hawa jamaa naonaga wanakula mishahara ya bure wafanye kazi (Wapush push vitu).
Hahaaa ,asali imemlevya au sio ?Vijana wa aina hii ni hatari sana wakipata madaraka, huyu alikua kinara hapa ku-quote psrs kila kukicha kuhusu placement, leo amekua mtoa nasaha watu wajipange, anaona kila aliekosa nafasi hakujipanga vizuri kwa mtazamo wake.
Hawa ndo wale watu wakipata wanaona wengine hawana uhitaji au ni wazembe, hawa wakiwa viongozi hawaoni shida kuzuia kabisa ajira kwa sababu yoyote ile.
Ukija kupata asali usiwe msaliti na kuanza kuwatetea hao majambazi psrs kama majobless wastaafu waliokula asali humu .πππππWana jf watafuta keki ya taifa,tuungane kupush agenda hii kwa watawala hali ni mbaya sana kwa vijana
Mimi huwa napenda Kujifunza siku zote,baada ya kwenda DODOMA na kupata Fursa ya Kuongea nao,nilielezwa mengi,ndio maana ninachoongea hapa nimekifanyia Utafiti,tusipende sana kulaumu,kila Taasisi huwa haikosi changamoto,ndio maana Hata wewe Hapo ulipojishikiza Kuna changamoto pia,ila nakujua ni mjengaji mzuri sana wa hoja,nadhani tuendelee Kujifunza ipo siku kila Mmoja wetu atakuja kuwasifia PSRS Kwa kazi Yao nzuri.....Vijana wa aina hii ni hatari sana wakipata madaraka, huyu alikua kinara hapa ku-quote psrs kila kukicha kuhusu placement, leo amekua mtoa nasaha watu wajipange, anaona kila aliekosa nafasi hakujipanga vizuri kwa mtazamo wake.
Hawa ndo wale watu wakipata wanaona wengine hawana uhitaji au ni wazembe, hawa wakiwa viongozi hawaoni shida kuzuia kabisa ajira kwa sababu yoyote ile.