Kwani nyie sheria zenu zinasemaje, tuko makini tunafuatilia Kila step mnayo kanyagaTunatofautiana upeo na uwezo wa kuchakata mambo kun watu humu wanaongea vitu hawafikirii mana hatua ya kwanza kupata mrija mtu hajavuka anawaza yapili anachagua pakwenda.. Kikubwa tupambane tuingie kwenye system kwanza..alafu sio vyema mtu akitoa mawazo yake kwa kuwa amepta asali uku mnaanza kumu attack kuwa ana defend utumishi haijakaa sawa ni mawazo ya mtu tuwe flexible tusikaze vichwa tukae position ya kujifunza na kuthamin michango ya wanaochangia
SasA Muzee , unapo chuku mtu kutoka kwenye database inabidi uonyeshe oral aliombea wapi ,pass marks zake ni ngapi , na SS tunapenda kumpeleka taasisi Fulani wanamuhitaji ,Si mumesema hamtaki kupangiwa sehemu ambazo hamkuzifanyia sahili?
Kama hujaona hiyo comment, fuatilia comments za jana hadi leo utaona hilo wazo.
NB: Kama kweli mnataka mabadiliko ya kiutendaji huko PSRS, jaribuni kuwa na msimamo na wala si leo mtu anasema hiki, kesho akasema kingine kinyume na alichokisema mwanzo.
Tuliopata placement, tukiwaasa mvumilie mnatuona sisi ni mawakala wa PSRS, nimebaki kusoma comment zenu sana badala ya kuchangia na nachangia pale inapobidili tu ili mpate uwanja mpana wa kuwasema PSRS.
Hatri naona mkeka inatoka tu na watu walishafnya usaili...mmmh hii dhana ya database naona ina chenga nyingikinacho umiza utumishi wanatangaza nafasi mpya zenye waliofaulu saili za nyuma badala wawape waliopo database.
Sekretarieti ya Ajira
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Huu muongozo mkuu umeutoa wapi...naomba nirushie niupitieMchakato wote wa ajira huwa unahusisha PSRS na mwajiri, mwajiri ndio anasema anachokitaka halafu PSRS inamfanyia.
Sasa kama mwajiri hataki watu wa database hapo lazima nafasi itangazwe.
Psrs ni Kama wamepagawa ivi, izi ni zulma za watu hiziWale mnaowatetea psrs wambieni basi warekebishe Tangazo lao hilo maana kila kitu ishakuwa nginjanginja....sasa hiyo two hundred and twelve ndio nini?View attachment 2563795
Unaweza kusubiri database kumbe oral ulipata 06%... Toeni marks watu wajaribu kuimprove
hamna watu mule.. kwa kweli wanamuangusha sana raisi samia na waziri wake.Wale mnaowatetea psrs wambieni basi warekebishe Tangazo lao hilo maana kila kitu ishakuwa nginjanginja....sasa hiyo two hundred and twelve ndio nini?View attachment 2563795
PSRS ukweli usemwe TU Haina maana yoyote Ile ni bureaucracy iliyowekwa na JPM Ili kuminya mirija ya asali Kwa vijanasasa kuna haja gani yakuwa na PSRS kama taasisi ndio inamamlaka kuliko wao?
na PSRS itaitaje watu waliofaulu usaili kwenye usaili mpya tena. Hichi ndo kitu waziri jenista alikilaani bungeni na kusema ataajiri watu 1760 kutoka database ili kuepusha kuwarudisha rudisha watu waliofaulu usaili kwenye saili zingine mpya.
Sekretarieti ya Ajira fanyeni kazi zenu kwa kufuata kanuni zinazowaongoza sasa nyie wenyewe mnavunja kanuni zenu ni bora muachie tu taasisi zifanye saili zenyewe kama zenyewe ndio zinamamlaka kuliko nyie. au raisi samia awaondoe tu maana mnakera
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
PSRS Wana laana za zulma za watuhamna watu mule.. kwa kweli wanamuangusha sana raisi samia na waziri wake.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Raisi Samia kilio chetu amekisikia, muda si mrefu anafanya mabadiliko PsrsSema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
Mmeshageuza maisha ya vijana, kuwa ni utan , Aya bana, we still fighting until we get itWakuu vipi leo hakuna PDF la Ramadhani na la kusubiri game ya Taifa Stars????
Jobless unapagua sehemu ya kufanyia Kazi bhs upewe UlinzKuna hii issue mtu unaomba kwenye asali (eGA, PURA, TPDC, TRA e.t.c) lakini placement ikitoka wamekupangia matopeni wilayani Kakonko huko ndani ndani. Sio kila mtu anaeomba kazi anataka kufanya kazi popote. Watu waulizwe " Mr. Tutor uliomba kazi TANROAD umekosa nafasi sasa kuna nafasi wilaya ya Namtumbo uko tayari?" Hii itapunguza idadi ya watu wasioenda kuripoti vituoni.