Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.kina @mwifa baada ya kulamba asaili wamekuwa vibarua wa psrs.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Ni haki yake kuchagua kazi ayopenda .Jobless unapagua sehemu ya kufanyia Kazi bhs upewe Ulinz
InshallahTukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.
Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.
Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.
Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.
Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Sawa hebu nitumie buku mbili kwanza ya vocha nilisherekea na ww sanaTukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.
Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.
Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.
Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.
Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Miezi kumi???[emoji15][emoji15][emoji15]woow thats shocking.Nilitakiwa kua nimelamba asali kabla hata ya huu uzi, lakini psrs haijatoa placement miezi kumi imepita, ukiwatafuta wanasema endelea kufuatilia eneo la placement!! Mwingine anasema tujiandae sana kwa interview!!
Hawa wizara ya ardhi, afisa ardhi ii... honestly nimekata tamaaMiezi kumi???[emoji15][emoji15][emoji15]woow thats shocking.
Post gani,taasisi gani?
[emoji1][emoji1][emoji1]WALIOLAMBA ASALI WENGI WAMEKIMBIA, WALIOBAKI WAMEUNGA MKONO JUHUDI. INATAKIWA MTU AKILAMBA ASALI ARUDI KUTOA SHUHUDA NA KUSHEHEREKEA THEN AKIMBIE MAZIMA MAANA JOBLESS NA WALAMBA ASALI HAWAONGEI LUGHA MOJA. NB: HII NI KWA KILA JOBLESS
Duh hii hatari,nimechek hapa placement ya land officer ilkua last year.Hawa wizara ya ardhi, afisa ardhi ii... honestly nimekata tamaa
Ndugu Mwifwa, umeandika kwa hisia kuu. Ila nakusihi upunguze munkari na kutambua kuwa sote humu tunategemeana kwa michango yetu na uzoefu wetu.Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.
Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.
Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.
Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.
Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Mkuu binadamu hatuna jemaaTukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.
Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.
Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.
Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.
Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Umeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.Sema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
Maneno ya busaraπππππSema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
pole sana kaka.Nilitakiwa kua nimelamba asali kabla hata ya huu uzi, lakini psrs haijatoa placement miezi kumi imepita, ukiwatafuta wanasema endelea kufuatilia eneo la placement!! Mwingine anasema tujiandae sana kwa interview!!
πππππUmeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.
Lakini pia mimi bado napata mashaka sanaaa, kwanini kwa posts ambazo zilitangazwa na TRA tena nyingi kiasi kile ziliweza kuchakwata haraka sana mpaka ikafikia hatua muda mfupi tuu tangu Mh. Rais awaseme wakatoa majina, je kuna nini huwa kinaendelea huko nyuma? Ingawaje kuna nafasi chache sana hutangazwa mfn. Nafasi 2,3,5 hata 10 zinachukua miezi mpaka 6, je ni kitu gani huwa kinaendelea huko nyuma ya pazia? Ninachoamini serikali imewapangia Sekretarieti ya Ajira majukumu ya kusimamia zoezi la kuajiri watumishi wake ili mambo yawe marahisi. Hivyo hili swala la uchelewashwaji sidhani kama lina sababu kubwa na ya msingi. Hizi kelele za vijana hawa wa kitanzania zina mashiko sanaa.
Nawatakia majukumu mema wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupo pamoja nasi tutapata TUHawa wizara ya ardhi, afisa ardhi ii... honestly nimekata tamaa
Naanza kupata pichaMnatakiwa mjue TU kwamba humu kwenye huu uzi PSRS wapo wengi tena with multiple id,
WApo humu kitetea Psrs kwa Hali na Mali, na kuzima vuguvugu lolote lile
Kuna wengine atajifanya msaka mrija wa asali, placement ikitoka TU, eti nae kalamba asali , na hapohapo anaipongeza Psrs inafanya Kaz nzuri sana.
Nikama maigizo yanayofanywa na viongozi wa makanisa ya Uongo hapa dar.
Matatizo ya psrs yanajulikanwa , na yanatakiwa yatatuliwe haraka sana, na sio kuleta Ushuhuda ,maigizo ya zumaradi humu JF,
Tumesha waambia wanasema eti majibu ni Siri,Umeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.
Lakini pia mimi bado napata mashaka sanaaa, kwanini kwa posts ambazo zilitangazwa na TRA tena nyingi kiasi kile ziliweza kuchakwata haraka sana mpaka ikafikia hatua muda mfupi tuu tangu Mh. Rais awaseme wakatoa majina, je kuna nini huwa kinaendelea huko nyuma? Ingawaje kuna nafasi chache sana hutangazwa mfn. Nafasi 2,3,5 hata 10 zinachukua miezi mpaka 6, je ni kitu gani huwa kinaendelea huko nyuma ya pazia? Ninachoamini serikali imewapangia Sekretarieti ya Ajira majukumu ya kusimamia zoezi la kuajiri watumishi wake ili mambo yawe marahisi. Hivyo hili swala la uchelewashwaji sidhani kama lina sababu kubwa na ya msingi. Hizi kelele za vijana hawa wa kitanzania zina mashiko sanaa.
Nawatakia majukumu mema wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uncle,PSRS ni genge la wachawiNaanza kupata picha