mku nlishatoa mfano huko ju. sina haja kutoa mifano tena.Mkuu TUnique salaam.
Moja, sio kila anaefanya oral automatically anaingia database.
Pili, una ushahidi kuwa wana watu wao. Kama una ushahidi itakua ni starting point nzuri kuwablast hawa PSRS.
Kumbuka ndugu yangu, tuhuma bila ushahidi zinaitwa majungu.
Wapi evidence kaka? Watu wote waliopata kazi kupitia utumishi ni watu wa utumishi?. Mkuu Mwifwa ameakandwa sana tu, lakini alirudi nyuma, akatathmini, akajiandaa, na wakati wake ulikua umefika, Mungu akaruhusu apate kazi
Hapana. Tulifanya oral 17/5/2022 ndiyo inatimia miezi kumi....tulifanya siku moja pia na state attorneys
Yeah its true,nmeona tu tangazo but placement hakuna kabisa[emoji22][emoji22]so sad aisee miez 10 duh.Hizo placement hazijawahi kutoka, ni miezi 10 sasa imepita
Nimekuelewa boss,hyo placement haikutoka.Aisee poleni sana,personally me ningeshagive up sidhan kama ningehangaika na utumish tena woooiii[emoji2356]Hapana. Tulifanya oral 17/5/2022 ndiyo inatimia miezi kumi....tulifanya siku moja pia na state attorneys
Duh muda mrefu hadi mwaka wa fedha umeisha na huu unaenda kuisha, pole sana.Hapana. Tulifanya oral 17/5/2022 ndiyo inatimia miezi kumi....tulifanya siku moja pia na state attorneys
Ww urudi kijijini kwenu ujikite kwenye kilimo sasa masika bado ipo, hadi tren letu litakapotoka nitakshtua[emoji2]Sa mtu wa May 2022 hajapata placement hadi leo,mm ni nan wa february 2023[emoji1787][emoji1787].
Acha maisha mengine yaendelee,[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
[emoji1787][emoji1787]i swear na usponshtua ntapitwa,mana last time nkajsemea nifate mambo yangu heee kuchungulia hum mara moja nakuta kumbe washaanza kudokoa MDAWw urudi kijijini kwenu ujikite kwenye kilimo sasa masika bado ipo, hadi tren letu litakapotoka nitakshtua[emoji2]
Tuendelee kukaa uweponi mwa PSRS tukikaa mbali majibu yatatoka hatuna habari [emoji2][emoji1787][emoji1787]i swear na usponshtua ntapitwa,mana last time nkajsemea nifate mambo yangu heee kuchungulia hum mara moja nakuta kumbe washaanza kudokoa MDA
Wanasema tuwe wavumilivu, tujipange kwa saili zijazo[emoji23]Yeah its true,nmeona tu tangazo but placement hakuna kabisa[emoji22][emoji22]so sad aisee miez 10 duh.
Mtu alie experience hiyo utamwambia nn about PSRS akuelewe[emoji2356]
Since then zimetoka kazi nyingi sana hapa za kada yetu, kanzidata ingeweza kutuhusu ila ndiyo hivyo....give up isn't an optionNimekuelewa boss,hyo placement haikutoka.Aisee poleni sana,personally me ningeshagive up sidhan kama ningehangaika na utumish tena woooiii[emoji2356]
Mkuu mm naona ungekuwa unaapply hizo zinazoendelea kutoka tu, kuliko kukataa tamaa sababu ya hio moja ambayo hujaoa placement yake.Since then zimetoka kazi nyingi sana hapa za kada yetu, kanzidata ingeweza kutuhusu ila ndiyo hivyo....give up isn't an option
Naendelea kuapply ila kama unavyojua psrs ndoige nje nje!!Mkuu mm naona ungekuwa unaapply hizo zinazoendelea kutoka tu, kuliko kukataa tamaa sababu ya hio moja ambayo hujaoa placement yake.
Heri kuendelea kujaribu kuliko kutokujaribu kabisaaaaaaaa.
Wewe ni real fighter,hongera sana mkuu kwa kutogive up.Since then zimetoka kazi nyingi sana hapa za kada yetu, kanzidata ingeweza kutuhusu ila ndiyo hivyo....give up isn't an option
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ahhh alooo naweza nasa mtu makofi aseeWanasema tuwe wavumilivu, tujipange kwa saili zijazo[emoji23]
Upo sahihi mkuuMchakato wote wa ajira huwa unahusisha PSRS na mwajiri, mwajiri ndio anasema anachokitaka halafu PSRS inamfanyia.
Sasa kama mwajiri hataki watu wa database hapo lazima nafasi itangazwe.
Hyo avatar mkuu em fanya namna,ushakua mtumishi sasa[emoji23]Upo sahihi mkuu
Muhimu huku unaendelea kuapply unaendelea na kazi zako zingine za kijamii na kiuchumi siku moja utumishi watakuona tu.Naendelea kuapply ila kama unavyojua psrs ndoige nje nje!!
Thanks. Hili muhimuWewe ni real fighter,hongera sana mkuu kwa kutogive up.