HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
HAyo maboresho mnayafanya lini ndugu mkandaji 😁
 
Mungu hausiki apa Mzee, Kwan ye ye ndio anayetoa placement, kuweni wawazi acheni janjajanja
 
Towen placement za watu , haiwezekan mtu afanye interview zaidi ya 3 no placement, alafu unamwabia aendelee kujitahidi na kuomba mungu zaidi.

Towen matokeo ya oral, Kwan hiyo ndio database yenyewe.
 
Wengi hamjui kuwa Kutangazwa nafasi za kazi na hayo mambo ya database ni POLITICAL GAIN kwa watu wengine, Msiwaamini wanasiasa fanyeni kazi kama umeplay part yako kwenye usaili endelea na maisha mengine kama placement itakuja itakukuta njiani usikae nyumbani kusubiri placement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…