Hapo ndo penye asali mkuu hiyo hatua ndio maana inafichwa fichwa figisu mingi wenye kutempa hapo penyewe kwa hiyo lazima mambo yawe mengiiPsrs wanaweza kusahihisha paper 3000 kwa siku moja, placement mpaka mvutane mashati au hawatoi kabisa wakiamua!!
"Kuwa mvumilivu, jipange kwa saili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku"Psrs wanaweza kusahihisha paper 3000 kwa siku moja, placement mpaka mvutane mashati au hawatoi kabisa wakiamua!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Kuwa mvumilivu, jipange kwa saili zijazo, kusoma iwe ratiba yako ya kila siku"
Kwa hiyo mh waziri amedanganya au amedanganywa na PSRSPSRS wanatoa tu matangazo ya kazi, itakua database hakuna watu
Hebu fikiria muda mrefu hivyo umepita, halafu mtu alijianda kwa ajili ya usaili, kachoma nauli, bado malazi, chakula n.k. Mpaka leo imepita miezi 10 hakuna placement wala notification yoyote kuwajulisha wahusika kuna kitu gani kinaendelea? Hii nchi ni yetu sote aiseee, hii si sawa.!!Nimekuelewa boss,hyo placement haikutoka.Aisee poleni sana,personally me ningeshagive up sidhan kama ningehangaika na utumish tena woooiii[emoji2356]
Kuna PDF tayar
Inauma sana,ubabe mwingi,kwann wakae kimya,waseme changamoto ni nn basi[emoji2356]Hebu fikiria muda mrefu hivyo umepita, halafu mtu alijianda kwa ajili ya usaili, kachoma nauli, bado malazi, chakula n.k. Mpaka leo imepita miezi 10 hakuna placement wala notification yoyote kuwajulisha wahusika kuna kitu gani kinaendelea? Hii nchi ni yetu sote aiseee, hii si sawa.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wamekuskia LATRA outNa shida imeenda mbali zaidi kwa wanaolamba asali kuona tunaokosa hizo nafasi as if hatujitumi,hatusomi,tuna iq ndogo na thinking capacity yetu ya kujibu maswali ni ndogo.
Wanatakiwa wajue kukosa au kupata anapanga Mungu ila sisi tunachopigania ni mchakato kufanyika kwa uwazi na uendane na muda.
Mfano LATRA watu wamefanya oral mwezi wa 12 mpaka leo bado hawajaitwa afu anaibuka mtu anasema taasisi haijawa na uhitaji ndio inachelewesha mchakato ilihali ukienda pale wamejaa watu wa intern na mikataba tu.
Narudia kuna shida sehemu Mama aliposema utumishi wanachelewesha michakato alimaanisha sana.
Mwenye muda apitie placement za kabla ya 2022 aone watu walikuwa wanaitwa muda gani baada ya interview.
let us speak in english language so that they can understand...[emoji16]Wazee wa database la 1769 naona hadi sasa wamepigwa 3 nunge aroo poleni sana wakuu wa sec selection never gv up
TUpia huku mzee
jina lipi mku ?Kwani hili tangazo la watu wa Muhimbili wamelitangaza tena?? Mbona kuna jingine lilitoka nadhan wiki ilopita kuna jina nililiona halaf na leo naona jina limo tena??
weka ushahidi mkuuKwani hili tangazo la watu wa Muhimbili wamelitangaza tena?? Mbona kuna jingine lilitoka nadhan wiki ilopita kuna jina nililiona halaf na leo naona jina limo tena??
Katafute hili jina kwenye tangazo la leo uoneweka ushahidi mkuu