HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .


Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.

Mungu mkubwa .

Mwifwa
abeche

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongeraa chief, tulikupa pole uzi mzima baada ya kukandwa TRA.

kwa upepo unavoenda bado mimi na wadau wachache kutusua PSRS
 
Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .


Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.

Mungu mkubwa .

Mwifwa
abeche

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
MWAMBA NIMEJIKUTA NIMEFURAHIA SANA KUPATA KWAKO UMEPITIA MACHUNGU MNOO KANA MIMI KAMA KWA SIKU ZA NYUMA ULIELEZEA HUMU, HONGERA SANA NIMEFARIJIKA SANA
 
SAwa fanya hivyo
 
Pole sana mkuu, be strong next time ni itakuwa upande wako, umeanza kupambana siku nyingi ila usikate tamaa hata kidogo.

Suala la status bila shaka ushajibiwa na waumini wa status, mimi sikuwahi kuwa muumini wa status, niliamini kwenye PDF pekee.
 
Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .


Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.

Mungu mkubwa .

Mwifwa
abeche

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nimefurahi sana Kuona ndugu yetu umelamba asali,nakumbuka zilivyotoka za TRA uliongea Kwa hisia Kali sana,ya kuwa mke wako anatarajia kujifungua,na una madeni mengi,Leo hii umesubiri na Umepata kazi.Hakika Mungu ni mwema sana.Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi.Hongera sana Mwamba.Mungu alipanga Uwe huko ulikopangiwa Leo.
Ukawe Mtumishi Mwema.Na hongera sana....
 
Kwann hii ishu vyama mbadala(UPINZANI) hapa nchini visilivalie njuga kwa kuliaddress vizuri TATZIZO LA AJIRA kwa ujumla wake lisemwe kwa umma ili raia wapate uelewa wa kinachoendelea??
Hili litaamsha hisia kali za vijana ..
Inabidi twende chadema , watusaidie kupush
 
Acha kuwa desperate Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…