HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole sana mkuu hope uendelee kujaribu wakati wako ukifika utapata.
Kuhusu status ngj waje wanaoelewa zaidi watakuelezea.
 
Mwifwa ndugu hapo ndo unaharibu cv yako.

Nakushauri kuwa kama zamani, uvumilivu ni sifa mojawapo ya mtumishi wa umma.
Kuanzia June mwaka jana hadi sasa hivi, huu ndio uzi wangu pendwa, kila nikiingia JF brake ya kwanza ni humu.

Kwa kuwa nyakati huwa na mambo tofauti tunapaswa kuendana na wakati husika, wakati huu kuanzia February mambo yamebadilika kama tunavyoyaona, ili kukabiliana nayo haina budi kufanya maamuzi fulani.

Binafsi kwa sasa najikita kwenye kusoma kimya kimya kama baadhi ya wenzetu ambao huwa wanaousoma kimya kimya na wakipata placement ndipo wanajitokeza kuleta shuhuda na sisi bila kubagua huwa tunawapongeza kama kawaida maana kufanya vile inatia moyo wengine ambao bado hawafanikiwa.

Sasa ili pawe na amani humu inabidi mimi nikae kimya nisiseme kitu kuhusu PSRS maana nikisema natajiwa nickname waliyonichagulia.

Hali ya mtaani naielewa sana, tukianza kuelezeana humu mbona kila mmoja atagundua ana afadhali zaidi ya mwingine, hii hali isitugawe katikati ya mapambano.
 
Status huwa haibadiliki baada ya oral
 
Hakika Mungu ni mwema na mke wangu anajifungua saa yeyote kutoka sasa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kitenge bana
Tatizo unapokuwa desperate unakuwa hautumii ubongo at 100% saaana utatumia 0.00000001% ya ubongo haswa wewe hapo yaani matumizi yako ya hii organ muhimu ni kulenga tundu la maliwatoni ili gogo lisiwe nje na pengine kuvukia barabara, unajinasibu ni mtoto kutoka familia zenye ukwasi lakini una haha kama mtu mwenye minyoo ya safura na hajala.

Tutumie ubongo vizuri tutafika.
 
Yale maji kwa lita wanauza ghali sana. Mambo yako yakigoma psrs nitafute Niku link na muuzaji hutojutia . Za kuambiwa changanya na zako
Ah wapi ingekua ndo hivo bas kila mtu angetumia hyo njia akapata
 
Kitenge punguza makasiriko Boss,
Matatizo ya taasisi yako unayajua , na tumetoa solutions.
Yana takiwa kufanyiwa kazi haraka sana,
 
Nakosa jinsi ya kuelezea furaha hiii ndugu zangu .


Nami ni miongoni mwa waliolamba asali jioni ya leo.

Mungu mkubwa .

Mwifwa
abeche

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu.

Ulikosa TRA tukakuambia kuwa na subira utapata sehemu nyingine muda ukiwadia, ona sasa leo hii una furaha isiyo na kifani.

Binafsi nimefurahi sana kuhusu habari hii, nikivuta picha jinsi ulivyokwama njiani mwaka jana ukashindwa kufika kwenye mkando wa written, ni historia ya kukumbuka jinsi ukivyopitia.

Namna hivi ndivyo tunavyoingia kwenye pipa la Asali makundi kwa makundi kwa nyakati tofauti tofauti.

Kila la kheri, karibu kwenye utumishi.

Nakukaribisha pia kwenye uwakala wa PSRS[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…