HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kwakuwa jana tumeona ANO (assistant nursing officer) wengi kutoka kanzidata kidogo imeleta matumaini kuwa pia kada zingine zilizopo database watapewa placement.

tunataka kuona medical doctors, phamacist, medical laboratory na radiographer kutoka huko kanzidata

pia bila kusahau kada zingine mbalimbali nao wapate nafasi.

mkeka wa jana ulileta matumaini kidogo sana.

leo acha nisiwaponde utumishi.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona hii haina shida kabsa ndugu zangu, pale ambapo kunae mapunguvu lazima tuyaseme ili yalekebishwe.
Na mchakato wa ajira za utumishi inabidi uwe wazi kuanzia hatua ya kwanza mpka mtu anapopangiwa kituo cha kazi.
 
Hii definition ya democracy uliisomea wapi Kiongozi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu ukishakuwa desparate unaweza kusema definition ya mountain ni Kilimanjaro.
The Hard way, Only The Way.
Wewe zwazwa unajua principle za democracy wewe mwambie boss wako jobless tumechoshwa na michakato yenu
 
Yani hawa hamna kuwapumzisha ni mpaka warekebishe na michakato uwe fair kwa wasahiliwa
 
Mimi naona hii haina shida kabsa ndugu zangu, pale ambapo kunae mapunguvu lazima tuyaseme ili yalekebishwe.
Na mchakato wa ajira za utumishi inabidi uwe wazi kuanzia hatua ya kwanza mpka mtu anapopangiwa kituo cha kazi.
Na ndio tunachokitaka
 
Wewe zwazwa unajua principle za democracy wewe mwambie boss wako jobless tumechoshwa na michakato yenu
Huyo US ambaye ana advocate democracy hataki Uganda waamue kupinga homosexuality.

Wewe tulia kilichopangwa pale ulipozaliwa kitakutafuta tuu maana ahadi yako iliwekwa ulipozaliwa utakuwa mtu wa aina gani na utakufa lini.
 
KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUITA WATU KAZINI??
Hata hawasomi humu cha muhimu waibukie Asharose Migiro pale wachimbe biti za hatari na maswali kede kede watakujibu mwanakwetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], mwifa unavituko sanaaa. Hakika uwepo wako humu ndani ni wa muhimu aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING: WanaJF wamlilia Mshasha baada ya ku-unsubscribe thread ya watu kujua kwanini utumishi wanachelewa kuita watu kazini.
 
Mtakaokuja kutoa nasaha hapa mjikite kwenye hoja ya KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUITA WATU KAZINI?
TUJIKITE HAPO KWENYE SWALI KUU KATIKA UZI HUU
Kwa sababu, ajira ni mchakato, unaojumuisha mambo mengi. Na sidhani kama utumishi wanaweza kukwambia kila kitu kinacho chelewesha placement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…