HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tuendelee kupiga kelele tunataka database ya watu 1700+ akati kila wiki nafasi zinatoka zikijumuisha na waliopo database am sure tutakuja stuka idadi ya 1700 imetimia bado tunabwabwaja.

Tujikite kwenye swali la thread hii. Habr za mange tuwaachie akina zuena na wale wa story za kufamaniana.
 
kwa tulipofikia inabidi tyuu maana wametuharibia mambo mengi kwa kukaa na placement muda mrefu.
 
Hizi inshu za not selected zipo hiyo yangu niliipata baada ya oral ya IAE. PDF ishatoka cjatoboa .. Ila tusivunjike moyo wakati wa Mungu ukifika na cc tapata asali​


View attachment 2527285

Duh. Una vyeti vingi sana we jamaa. Nilikuwa najaribu kuwaza tu sifa ulizonazo katika hizo attempt zako.

Usijali, wakati wa Mungu utafika.
 
endelea kuwepo mkuu
 
unatosha kutuwakilisha majobless bungeni una content sana champ
mpaka nime ku follow
 
Hata hawasomi humu cha muhimu waibukie Asharose Migiro pale wachimbe biti za hatari na maswali kede kede watakujibu mwanakwetu.
Wao hawasomi ila Mh. Rais si alisema anasoma nyuzi za humu JF???
TUSIPANGIANE NINI CHA KUANDIKA.....WASOME AU WASISOME NI SAWA TU!
 
yaah afsa ni kweli japo inauma sna, na ukumbuke nawe ulitoweka ghafla baada ya kukosa placement mpaka tukaanza kukuulizia ukowapi balozi.

ukarejea ghafla na ID mpya baada ya kutusua kupitia database ama naongea uongo mkuu?
 
nafikiri ni hicho hicho kizazi ndio kinatoa lawama sasa hivi pengine mwanzoni hicho kizazi wengi wao kipindi hicho kilikua bado hakijaingia oral sasa nahisi majority ya hicho kizazi sasa hivi kinasubiria placement kwaio ndo mana kinaendelea kuwa aggressive hadi kupeleka hizi habari kwa mange utadhan kila anaefanya usaili ni lazima apate kazi

mimi nimefanya saili nyingi sana hata oral tu sijawahi ingia na nimechoma nauli enzi hizo tunafanyia duce hadi leo hii PSRS wamehamia dodoma nipo tu lkn naamini ipo siku tu na mm ikifikia zamu yangu Mungu akipanga iwe itakua kama hajapanga basi tobo langu litakua pengine labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…