HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
SHuHuda za zumaradi 🤣
 
Niwaambie tu madogo wote mtakaopata wenyewe mnaita asali kwa upande wa TGS. Scale ya mwisho ni TGS H kama 2.3M. Na utafika hapo baada ya miaka 17 kazini. Wakati huko kwengine hiyo ni salary ya kuanzia
Muhimu kuingia kwenye system then tukifika huko tutapambana kupata greener pasture,yani haina kupoa[emoji1787]

I have a friend ambae kalamba asali juz juz,sahivi anakusanya nondo za taxation TRA ikijichanganya tu anaikanda anahamia huko.
 
Amepatia Mzee, unataka akariri kama ilivyo vile vile😂 kwenye vitabu. Elimu sio kukariri mkuu , ni kujifunza kutokana na ulicho soma
 
Kwa hicho ulicho Sema apo 👆 kama ni kweli BaSi, Wacha PSRS waendelee kukukanda 🤣 TU
 
mimi sawadogo na wasaka ajira wenzangu tuwe makini na tuongeze juhudi utawala huu wa mama samia suluhu
maana tusipo otea mfumo /ajira kwenye utawala wake atakuja kuja nyemela mwingine atakae kuja kuua ndoto za vijana na kufanya waishi maisha ya kuzimu , majalalani na wengine kwa shemeji zao

RIP kwa walio tutangulia kwa msoto wa mtaani tangu 2015
 
Muhimu kuingia kwenye system then tukifika huko tutapambana kupata greener pasture,yani haina kupoa[emoji1787]

I have a friend ambae kalamba asali juz juz,sahivi anakusanya nondo za taxation TRA ikijichanganya tu anaikanda anahamia huko.
Hiyo ndio tunaita work hard or die poor. Ukiridhika tu kwamba nimepata serikalini ukakaa chini na TGS yako unakaribisha umasikini na madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…