Haya madhaifu PSRS wanayoyafanya ndo maana tunazidi kufunua ukurasa mpya wa malalamiko....Kaangalie hapo no 16...last week aliitwa mwenyewe
Leo kaitwa kwenye kundi la wati wengiView attachment 2564039
Kwa Upande wa diploma sijasikia aliyetoka upande wa A/cNaskia kwenye database zimebaki slots 11 tu[emoji23]
Mkandaji tupe updateWadau kama hizi taarifa nizosikia kuhusu database ni kweli, Basi mama apewe tuh kiti cha uraisi 2025....
Nilikuwa wa kwanza kusema ijumaa hapa kwenye uzi, kwasababu yaniliyoona alhamisi usiku, ulikuwa usiku wa vitu vingi, haya sasa isaya aliambiwa watulize watu Wangu mioyo na mm nikaja kuwatuliza mioyoWadau kama hizi taarifa nizosikia kuhusu database ni kweli, Basi mama apewe tuh kiti cha uraisi 2025....
Waliopata jana Ministry of Education ( Computer operator) 18, wote wametoka TRAKuna mtu ambaye alikosa TRA kuchaguliwa lakini kapelekwa taasisi nyingine?? Kama database??
Waliopata jana Ministry of Education ( Computer operator) 18, wote wametoka TRA
MZee haya yote umeyajuaje,?Waliopata jana Ministry of Education ( Computer operator) 18, wote wametoka TRA
Swali zuri sana ili au na yeye ni mkandaji😅😅MZee haya yote umeyajuaje,?
Ndio mimi hapa nilikosa tra ya juzi ila nimepangiwa sehemu nyingineKuna mtu ambaye alikosa TRA kuchaguliwa lakini kapelekwa taasisi nyingine?? Kama database??
Sasa hakukuwa na watu wa tax waliopangwa kwani waliofanya interview ya tax wakabaki kwa tax wanabaki data base ya tax hata km umesoma accountNazungumzia Tax management officers
Hii kada kupata kazi nje ya TRA ni ngumuNazungumzia Tax management officers
Kwa upande wa accountant???Ndio mimi hapa nilikosa tra ya juzi ila nimepangiwa sehemu nyingine
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni mkandajiMZee haya yote umeyajuaje,?
Asante 🤝[emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni mkandaji
[emoji16][emoji16], kila mtu na target zake aisee.Mimi sio Jobless mkuu na ndio maana nachagua taasisi za kuomba siombi kila kazi inayotangazwa na PSRS bali kuna taasisi maalum nazilenga na nitafanya hivyo hadi nifike miaka 45.