I seeUsije ukajidanganya umepata taasisi X ukareport, baada ya mda ukapata taasisi Y af uhamie tu kizembe zembe, sio rahisi kabisa kama unavyodhania.....japo inawezekana ila possibility ya kukosa vyote ipo nje nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuriKwann wakataliwe sasa
Mshahara utakaostaafia halmashauri ndio kijana wa TRA anaanza nao kazi fresh akiwa hana mke wala mtoto.Sure brother, kama huku Local Government Halmashauri TGS Scale E1 ni gross salary ya 1,000,000/- kabla ya makato.
Msomi, hili siyo swali kabisa....Wakuu hivi hii private sector inaitwa PWC inahusika na nini hasa
Wakati mwingine unaangali tu wewe binafsi uko kwenye nafasi ipi kati ya unemplyoed na jobless. Ukiwa jobless usichague kazi provided kwamba ni halali na umeipata basi ridhiki yako ipo hukohuko. Ni ukweli usiopingika baadhi ya taasisi zinalipa vizuri lakini lazima uliangalie kwa mapana possibility ya kupata kwako wewe binafsi na sio mkumbo wa watu la sivyo you will run out of time na graduate kila mwaka wanaongezeka, hakunaga mshahara unaotosha lkn huohuo unaoupata ndio ridhiki yako kwasababu hatuwezi jobless woote tukaajiriwa BOT, na pia wapo wenye maendeleo hapo hapo halmashauri kikubwa kwanza KAZI UIPATE ndio hoja zingine zifuate la sivyo ni kheri kupambana kwasababu muda unaenda na wasomi ni wengi na kila mmoja wetu Mungu kampangia atafanya kazi wapi kwa wakati gani mpk gani, kwahiyo tupambane tuingie kwanza kwenye system halafu ndio tuchague.Mshahara utakaostaafia halmashauri ndio kijana wa TRA anaanza nao kazi fresh akiwa hana mke wala mtoto.
ni consultancy agency. naona ina recruit vijana na kuwa train kwenye issues mbalimbali ikiwemo taxes nk then mtaajiriwa kwa makampuni yenye ubia nao ya nchini na kimataifaWakuu hivi hii private sector inaitwa PWC inahusika na nini hasa
ni consultancy agency. naona ina recruit vijana na kuwa train kwenye issues mbalimbali ikiwemo taxes nk then mtaajiriwa kwa makampuni yenye ubia nao ya nchini na kimataifa
Msomi, hili siyo swali kabisa....
Kama hujaelewa kaa pembeni acha ujuajiMsomi, hili siyo swali kabisa....
Pamoja sana chiefni consultancy agency. naona ina recruit vijana na kuwa train kwenye issues mbalimbali ikiwemo taxes nk then mtaajiriwa kwa makampuni yenye ubia nao ya nchini na kimataifa
Alooo asante kwa somo bossYesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuri
Umeshindwa hata kusearch kwenye internet Jambo dogo Kama hilo?! Acha kuchezea uziKama hujaelewa kaa pembeni acha ujuaji
Ni wakati tu kaka unapitishwa, usikate tamaa be hopefully and gratefully uko mzima, ipo siku yako utabaki kuisimulia hii kitu. Trust the process although i know ni kipindi kigumu sana lkn kuna kitu unajifunza kitakusaidia onwards, lets keep moving safari bado....wakuu mtaani njaa kali
Umeshindwa hata kusearch kwenye internet Jambo dogo Kama hilo?! Acha kuchezea uzi
Tulifanya nae majina si yapo tangu written mpaka oral unaachaje kujua sa,we nae
kama tu waziri alidanganya umma wataajiri watu 1760 kutoka database tena bungeni ila hadi leo imebaki story utadhani database ya waliofaulu usaili haina watu.
Raisi samia Tunaomba ufute na uondoe hu mfumo wa PSRS hauna tija wala hausaidi watoto wa maskini baadala yake unaumiza wengi na wengi hutumia garama mingi kufuata usaili. japo wengi wanafaulu ila inaonekana database haina maana tena.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hapo lazima afunge na kuomba au amtafute yule jamaa aliyemuambia ana-connection na mtu anayefanya kazi mortuary.Yesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu unaongea ile kweli tupu...just imagine mtu anaenda kuanza na 2.3M yaani anaanza tuu alishapitiza hadi kwenye 2M hiyo ni asali tamu sanaMshahara utakaostaafia halmashauri ndio kijana wa TRA anaanza nao kazi fresh akiwa hana mke wala mtoto.