Halmashauri mshahara wao ni WA kiutumishi haswaaa, lakini halmashauri Kuna pesa nyingi sana pale zinazagaahvii wakuu halmashauri ni dimbwi la msoto kwa watumishi wa uma eeh!?
watu mnaikandia kinoma noma
Mkuu kwa nn hisiwezekane ilo, mm mwenyewe nilifanya tax mgt officer mwaka 2020 tra duce pale lkn placement ilitoka nikaachwa na nilijua nishakula asali pindi natoka kwenye usaili lkn nikapangiwa mahala pengineWatu waliofanya interview ya Tax na Custom kupelekwa kwenye taasisi nyingine nje ya Tra ni ngum sana
Watu wanapangiwa mbona kwa mfano mwaka jana mwezi 11 au 12 kuna watu walitolewa kwenye database wakapangiwa TraWaKo radhi wakutupe halmashauri lakini sio TRA,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WaKo radhi wakutupe halmashauri lakini sio TRA,
Umenijibu tofauti na nilivyouliza mkuu! Nimeuliza je kuna uwezekano wa wafanyakazi wa taasisi X ambao wameajiliwa kwa mikataba wakapata ajira ya kudumu moja kwa moja bila kupitia Sekretarieti ya ajira kwa ajili ya Interview?Swali liliulizwa kuhusu kazi za mikataba ya muda maalum na sio permanent jobs
WaLe nawajua connection YAo ilikuwa planned siku nyiiingiiWatu wanapangiwa mbona kwa mfano mwaka jana mwezi 11 au 12 kuna watu walitolewa kwenye database wakapangiwa Tra
Duuu sema kwelWaLe nawajua connection YAo ilikuwa planned siku nyiiingii
Haiwezekani..Umenijibu tofauti na nilivyouliza mkuu! Nimeuliza je kuna uwezekano wa wafanyakazi wa taasisi X ambao wameajiliwa kwa mikataba wakapata ajira ya kudumu moja kwa moja bila kupitia Sekretarieti ya ajira kwa ajili ya Interview?
Hela IPO ila inaishia kwa wakubwa hasa mkuu wa idara mlio huku chini mtapiga miayo sanahvii wakuu halmashauri ni dimbwi la msoto kwa watumishi wa uma eeh!?
watu mnaikandia kinoma noma
Kijana unawapenda sana watu wako, Umeamua kuwapigania muda ambao ungekuwa BEFORWARD unachagua gari nzuri kwa misele ya kisasa na area d mpaka bambalagaKuna nafasi moja ya Civil Engineer NAOT, haya pambaneni na karibuni NAOT
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kijana unawapenda sana watu wako, Umeamua kuwapigania muda ambao ungekuwa BEFORWARD unachagua gari nzuri kwa misele ya kisasa na area d mpaka bambalaga
Hiyo ni ya temporary au permanent?Kuna nafasi moja ya Civil Engineer NAOT, haya pambaneni na karibuni NAOT
Imewekwa ajira portal ipitie,tangazo lipo utumishi maelezo yote yapo mkuu
Permanent.