HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu lakn unajua kwmba mpka ss karbu nafasi 200 na zaidi zishatolewa kutoka database?kusurbia mkeka wenye watu 1700 kutoka databse naona ni kujichosha mim naamini watu wataendlea kuvutwa kutoka database mdgo mdgo kama choo cha mbuzi kinavyotoka
 
Barua tarehe 8-Feb-2023, tangazo tarehe 20- March- 2023–tushaliwa mishahara ya 2 months…hahahahah
Barua zetu pia zilikuwa na Interval ya mwezi mzima tangu kuandikwa na placement kutoka.

Swali: Unafikiri ni nini kinasababisha hiyo Interval? jibu la hili swali linaweza kuwa miongoni mwa majibu ya "KWANINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUITA WATU KAZINI?"

abeche Blender TUnique yesamrich mfwende sawadogo
 
PSRS Wanangu pumzikeni , mna Mambo mengi muda mchache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…