HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wewe bado unategemea mishahara kufanya maendeleo? Hahahah! Zisi kantre hazi veri leizi pipo [emoji23]
Nimekusoma mkuu, na Ndio maana PSRS hawataki kuachia taasisi na mashirika wafanye saili, perdm inawebeba juu mawinguni.

PSRS without saili are Worthless watakuwa kama walimu TU
 
Psrs kwanini walipwe perdiem kwa kusimamia interview wakati ndiyo jukumu kuu la taasisi?!! Ufafanuzi wa maana please
Kazi yoyote ikifanyoka nje ya ofisi perdm inahusikaπŸ˜‹, labda PSRS waamue saili zifanyike umo umo ndani ya ofisi zao
 
Hivyo wasimamizi wa interview wanaajiriwa kwa kazi hiyo au ni wafanyakazi wa fani tofauti toka psrs?
Kwanza hio sio fani, ni kitengo kapewa, fani yake anaweza ku ata mwalimu,

Kufanyisha saili ni Moja wapo ya majukumu aliyokabidhiwa,
PSRS Wana utaratibu wao wanavyopanga , ila wakipanga saili nje ya kituo chake Cha kazi , perdm ni lazima kwa mujibu wa sheria za ajira utumishi wa uma na etc..
 
usijaribu kupuuzia Kazi ya serikali kisa TGS D nk ,siri utaijua ukiwa ndani. nimeshatoa shuhuda sana kuhusu mwanangu anaelipwa TGS lakini yukonjema balaa na sio kwamba kuna side hussle anafanya.
Pengine huyo rafiki yako anakudanganya Ili manenomaneno yasifike ofisini, ki ukweli Huwezi kuwa na maajabu ukitegemea TGS D
 
Mwanzoni ilikua asali kwa ujumla, sasa hivi kuna asali ya nyuki wadogo na asali ya nyuki wakubwa.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi TCRA na WCF entry level degree holder anaanza na ngapi?? Kuna fitna flani nataka nifanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…