Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Kwa taaluma Yako TCRA huwezi kuingiaMwanzoni ilikua asali kwa ujumla, sasa hivi kuna asali ya nyuki wadogo na asali ya nyuki wakubwa.ππ
Hivi TCRA na WCF entry level degree holder anaanza na ngapi?? Kuna fitna flani nataka nifanye.
Haya mambo wandugu yanahitaji subira sana na kuwa na imani binafsi nimemaliza chuo mwaka 2016 mpaka leo bado nipo benchi na nimefanya sajili kadhaa sehemu mbalimbali ikiwemo na utumishi lkn mambo bilabila mwanzoni nilikuwa na masononeko sana, ila nilijifunza kwa shemeji yangu yeye alichezea msoto mkubwa baada ya kumaliza chuo mwaka 2013 akiwa ameachiwa familia tegemezi yaani mama yake na wadogo zke wa3 kozi baba yke alifariki tangu. 2010 kuna muda jamaa alikuwa ana eti ili kupata pesa ya kulisha Ngugu zake. Ktk hali kama hiyo na huna kazi so painful jamaa kila akiomba kazi hapati kuna wakati jamaa alikuwa anawakanda kwenye oral mpaka watu wa panel wanakubali na kumhakikishia kazi lakini bado mwish wa cku alikosa.tumekaa kusubiria mpaka sasa tumesimama kuulizia
[emoji23][emoji23][emoji23], haaaa!! Watu mnadharauHii sio asali. Ni Uji wa advance mkuu
Kwamba not less than 4M![emoji848]Mshahara wa Engineer wa TCRA ni karibu Mara tatu ya mshahara wa Daktari
Doctor MD ni 1.4m Sasa zidisha mara 2+
MaRuTihayo Magari uliwanunulia wewe? Una uhakika ya kuwa tgs d wote Wana Magari?
noted champ,tutafanikiwaHaya mambo wandugu yanahitaji subira sana na kuwa na imani binafsi nimemaliza chuo mwaka 2016 mpaka leo bado nipo benchi na nimefanya sajili kadhaa sehemu mbalimbali ikiwemo na utumishi lkn mambo bilabila mwanzoni nilikuwa na masononeko sana, ila nilijifunza kwa shemeji yangu yeye alichezea msoto mkubwa baada ya kumaliza chuo mwaka 2013 akiwa ameachiwa familia tegemezi yaani mama yake na wadogo zke wa3 kozi baba yke alifariki tangu. 2010 kuna muda jamaa alikuwa ana eti ili kupata pesa ya kulisha Ngugu zake. Ktk hali kama hiyo na huna kazi so painful jamaa kila akiomba kazi hapati kuna wakati jamaa alikuwa anawakanda kwenye oral mpaka watu wa panel wanakubali na kumhakikishia kazi lakini bado mwish wa cku alikosa.
Huwezi amini jamaa alikuja kupata kazi 2020 kwa hindi kama internal auditor.
Kwanamna yoyote ile tusikate tamaa wadau fungu letu lipo hakuna wakijizuia na tusiache kuomba sugu zangu.
Usije kushangaa asbh unakutana na pdf lililoshibaleo hamna mkeka!
Hivi ni Placement zipi zimebaki older!?
Ndio, kama hauna unasisitizwa uipate immediatelyAuditors ni CPA?
Mwanzoni ilikua asali kwa ujumla, sasa hivi kuna asali ya nyuki wadogo na asali ya nyuki wakubwa.[emoji23][emoji23]
TPDC naskia napo ni balaaMshahara wa Engineer wa TCRA ni karibu Mara tatu ya mshahara wa Daktari
We jamaa unapenda sana mbwembweAuditors ni CPA?
Sorry et kwa izo izo nafasi za T.A, kigezo kam wamesema degree ya accounting mi ninayo ya accounting and finance kuna shida?Huwezi kuitwa hata ikitokea umeitwa kimakosa huwezi kuingia kwenye chumba cha interview huwa wanakagua GPA mlangoni
BaLEnsiaga mtu ya TRA,Doctor MD ni 1.4m Sasa zidisha mara 2+
Hahahahah hio ni laki Saba na ushee.Wadau hii salary scale TGS mbona mnaisema sna ina nini kwan??
Wewe uko taasisi Gani!?Mshahara wa Engineer wa TCRA ni karibu Mara tatu ya mshahara wa Daktari