Watumie electronic signature, why are we lagging behind of technology every second?[emoji848]Signatory labda huwa anachelewa kufanya kazi yake, pia na sababu zingine ambazo hatuzijui
[emoji23][emoji23][emoji23], ndo maana majibu ya oral huwa wanayaficha.Ulipangiwa taasisi nyingine kabla hata placement ya taasisi ulifanyia interview kutoka.
Mzee unawaza placement ya TRA, psrs wanakuzoom tu[emoji28]
Sidhani kama kutia saini ndio kikwazo cha kuchelewesha...kuna mambo t behind the scene hatuyajui...aka mambo ya michakatooWatumie electronic signature, why are we lagging behind of technology every second?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine labda...Sidhani kama kutia saini ndio kikwazo cha kuchelewesha...kuna mambo t behind the scene hatuyajui...aka mambo ya michakatoo
Nitumie link yake au pdf ya hiyo nafasi ya kuhamia huko TTBKuna nafasi za kuhamia TTB wakuu, wale ambao mpo ndani ya system na mnakabiliana na tgs d, basi kwenye TTB kule nahisi mambo yatakuwa safi sanaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki yake maana karibia hela zote za serikali ziko hazina na benki kuu, pale dodoma majengo yao yamepakanandio mkuu ipo chini ya MOF hio mkuu/mwanangu kanichana salary yake haifiki hata 1M ila ishu zingine hzo halali ndio zina mfanya avimbe ,kwa cc vijana below 30 naweza mterm kama don tayari aiseeh .
japo mm huku kitaa njaa inanichapa kweli kweli
Ndo nilishangaa dadeki wakati placement ya tra ilitoka tar 14 barua yangu iliandikwa tar 11Ulipangiwa taasisi nyingine kabla hata placement ya taasisi ulifanyia interview kutoka.
Mzee unawaza placement ya TRA, psrs wanakuzoom tu[emoji28]
Sithani kama kuna shida yoyoteSorry et kwa izo izo nafasi za T.A, kigezo kam wamesema degree ya accounting mi ninayo ya accounting and finance kuna shida?
Ajira ni jambo linagusa wengi mkuuuzi soon unafikisha 1M views
bdo kuna wengine hawatumii JF ,wanapeana updates za ajira kupitia fb hukooAjira ni jambo linagusa wengi mkuu
Ngoja nikuangalizie mkuu.Nitumie link yake au pdf ya hiyo nafasi ya kuhamia huko TTB
Huku ni asali tupuu
TGS D nk - sio halmashauri tu mkuu,mpaka wizarani. japo nasikia huko halmashauri fitna na msoto ni nje njeeMkuu mfwende sawadogo unawafahamu watu wanaitwa Baraza la madiwani? Basi kwenye TGS D hapo halmashauri hao watu ni hatari sana.
Kataa TGS D ya halmashauri
Sahihi ndo maana nikasema kataa ya halmashauri.TGS D nk - sio halmashauri tu mkuu,mpaka wizarani. japo nasikia huko halmashauri fitna na msoto ni nje njee
utahamishiwa halmashauri ya namtumbo hukoSahihi ndo maana nikasema kataa ya halmashauri.
Haiwezekani ulaji wako ukawekwa kwenye mikono ya watu wafitini kama baraza la madiwani. Wakisema hawakutaki usipokua makini unaenda na maji!