Kuna mtu aliwahi simamishwa kazi miaka 5+ kisa alienda kusoma phD, akatengwa ofisi na kisha madiwani wakaazimia kutorudisha madai yake kwa miaka yote hiyo. Ukiwa halmashauri na madiwani wakiazimia huku mkurugenzi kashikwa maskio, wafwaaa...utahamishiwa halmashauri ya namtumbo huko
Signatory anaweka nani vile, 😂, Kwan s digital signatory?Signatory labda huwa anachelewa kufanya kazi yake, pia na sababu zingine ambazo hatuzijui
yuko hazina mkuu
Pesaa zipo mkuu, usikute mkuu wako wa idara anataka kuwapiga ndoigeHabari zenu jukwaani,nauliza hivi induction/training kunakua na pesa eee???
PSRS wakupangia TRA labda uwaue[emoji23][emoji23][emoji23], ndo maana majibu ya oral huwa wanayaficha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni asali Kwa wenye asali
Ni next week inaanzaHahahaaaa.
Msomi wa Cuba twende pamoja.
Induction itaanza lini ? kama mshajulishwa
Ahaha,naulizia tu maana next week tunaanza na ilo life la hapo makao makuu.. natafakari hapaaPesaa zipo mkuu, usikute mkuu wako wa idara anataka kuwapiga ndoige
Tumia Kinga mkuu, watoto wa kigogo na warangi ni wajinga sanaAhaha,naulizia tu maana next week tunaanza na ilo life la hapo makao makuu.. natafakari hapaa
Hatari sanaa, huku uchawi una play part sanaa inaonekana.Kuna mtu aliwahi simamishwa kazi miaka 5+ kisa alienda kusoma phD, akatengwa ofisi na kisha madiwani wakaazimia kutorudisha madai yake kwa miaka yote hiyo. Ukiwa halmashauri na madiwani wakiazimia huku mkurugenzi kashikwa maskio, wafwaaa...
Kabisa mkuu, waliopo halmashauri na vitengo vingine visivyoeleweka wafanye hima kuhamia huko. Crop value of Tobacco is very high comparable to other commercial crops in the world.Hii ni asali Kwa wenye asali
[emoji4][emoji4][emoji4]Tumia Kinga mkuu, watoto wa kigogo na warangi ni wajinga sana
Wali kuengua Kiaina yake Yan 😂,Ndo nilishangaa dadeki wakati placement ya tra ilitoka tar 14 barua yangu iliandikwa tar 11
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
HAyo mambo yalikuwa kipindi Cha kambale , SS ivi hakuna huo uchawi Tena
Msiwe na wasiwasi si kuna checks and balance jamani.Kina Mwifwa(Naot) si wanafanya audit za mambo mbalimbali kila mwaka kwenye taasisi za umma?halikadhalika Tume ya utumishi wa umma nao si wana audit mambo ya utumishi wa umma. Relax system haiwezi kukosa transparency bhana. Au umesahau ile sentensi government of the people by the people and for the people.Unawakilishwa tu na vyombo mbalimbali lkn ni weweSasA Muzee , unapo chuku mtu kutoka kwenye database inabidi uonyeshe oral aliombea wapi ,pass marks zake ni ngapi , na SS tunapenda kumpeleka taasisi Fulani wanamuhitaji ,
Na sio kupachika TU mtu ,pasipo kujua alitokea wapi ,Alafu unasema huyo from database, hili aijaka sawa ,bao la mkono linaweza tumika hapa
Psrs lazima muwe transparency, mambo ya Siri, Yana leta wasiwasi sana kwetu ss
Wachawi ni watu kaka. Regime haiwezi kuwapa watu uchawi kama hawakua na chembechembe za kichawi. Uchawi Halmashauri hauishiHAyo mambo yalikuwa kipindi Cha kambale , SS ivi hakuna huo uchawi Tena
Pole sana Miss!Hakuna kazi ngumu kama kusubiri kitu [emoji848]
Nipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).Mkuu mfwende sawadogo unawafahamu watu wanaitwa Baraza la madiwani? Basi kwenye TGS D hapo halmashauri hao watu ni hatari sana.
Kataa TGS D ya halmashauri
Madiwani nuksi kila mradi wanataka 10%. Hata kwenye vikao hao wakuu wa idara wanakuwa wadogo kwa madiwaniMkuu mfwende sawadogo unawafahamu watu wanaitwa Baraza la madiwani? Basi kwenye TGS D hapo halmashauri hao watu ni hatari sana.
Kataa TGS D ya halmashauri