Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.Nipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).
Volunteer mimi ndio nina degree ya hio nafasi yake. Basi jamaa ananiona mimi ni threat kwake. Aisee hakuna rangi naacha ona. Jobless tunapitia mengi sana basi tu walioko PSRS wanaweza kuwa hawatambui hili.
Hua nabaki naangalia na kukubali acha iwe hivo hivo.
Ukimshauri kitu cha kitaalamu anakuona mchawi na atakubania hata vifursa vidogovidogoNipo nimejishikiza Halmashauri X, kuna Afisa flani wa Wilaya anakaimu hio nafasi ila yeye professionally ni mwalimu (elimu msingi).
Volunteer mimi ndio nina degree ya hio nafasi yake. Basi jamaa ananiona mimi ni threat kwake. Aisee hakuna rangi naacha ona. Jobless tunapitia mengi sana basi tu walioko PSRS wanaweza kuwa hawatambui hili.
Hua nabaki naangalia na kukubali acha iwe hivo hivo.
Yaani hiki ndio kitu cha ajabu kabisa. Mkuu wa idara unanywea kwa diwani.Madiwani nuksi kila mradi wanataka 10%. Hata kwenye vikao hao wakuu wa idara wanakuwa wadogo kwa madiwani
Utaskia, Huyu dogo anaujuaji sana. Hajui kama hana check numberUkimshauri kitu cha kitaalamu anakuona mchawi na atakubania hata vifursa vidogovidogo
Kufunga ofisi mara nyingi huwa anataka kuficha madudu yake. Dili za halmashauri ndio hizo za msimuSasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
Hata hapo nilipo yupo mtumishi wa aina hii. Halmashauri kuna shida sana ila tutafanyaje sasa na hatujafanikiwa kuingia kwenye system, inabidi tukubaliane na hali.Sasa hao walimu hasa idara ya msingi ndio wachawi na wanoko balaa. Kuna halamashauri nilikuepo ina kaimu mkuu wa idara fulani, yaani yule jamaa hata degree hana. Kibaya zaidi asipokuwepo ofisi inafungwa. Akiskia kuna mtu ana qualificafions kama zake kazi unayo.
Aseee achana kabisa na TGS D halmashauri.
Hawakumsagia kunguni ahamishwe?Kuna dogo alikuwa procurement kwenye huu mradi wa madarasa alivuna kama 120M. Kosa lake aliwanyima madiwani tenda za ujenzi. Figisu zikaanza alikaa ndani wiki mbili baadae alishinda kesi
Kuwa mpole mkuu. Yaani wanataka ujipendekeze pendekeze na kuwa chawa. Hiyo ndio nature yao hao wapuuzi!Hata hapo nilipo yupo mtumishi wa aina hii. Halmashauri kuna shida sana ila tutafanyaje sasa na hatujafanikiwa kuingia kwenye system, inabidi tukubaliane na hali.
Sasa huwa kuna kile kitengo cha mafuta alooooo.... wanarogana mpaka basiKufunga ofisi mara nyingi huwa anataka kuficha madudu yake. Dili za halmashauri ndio hizo za msimu
Mfano ujenzi wa madarasa au zahanati na kukarabati barabara na ushuru wa masoko
Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.Yaani hiki ndio kitu cha ajabu kabisa. Mkuu wa idara unanywea kwa diwani.
Nilishaambiwa hii kauli. Oh mimi nina check number tena nalipwa hela ndefu, hivyo hii kazi sio kwamba nategemea.Utaskia, Huyu dogo anaujuaji sana. Hajui kama hana check number
Mbona kama uko wilaya moja hivi kanda ya ziwa mkuu😹Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
Tuma mkuu, kisha subiria outcome itakuaje maana hakuna cha kupoteza.Nimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
Teh teh teh 😂😂😂 kazi kweli kweliKuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
Unang'amua vema mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Mbona kama uko wilaya moja hivi kanda ya ziwa mkuu[emoji81]
Pambana mkuu upate placementUnang'amua vema mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Upo sahihi.
Nimejionea na kujifunza mengi sana Halmashauri, mkuu.Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli kweli
Nasikilizia pdf ya February, mkuu.Pambana mkuu upate placement