little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Kuna wanaokuwa registered kama graduate, sio lazima experience.Kuwa registered Engineer ni process ya muda kidogo i.e experience Kwa sababu wanataka uwaonyeshe projects ulizofanya
SahihiKuna wanaokuwa registered kama graduate, sio lazima experience.
Unaitwa Graduate Engineer
Kwani TGBS 8 ni sh ngapi?Huku ni asali tupuu
Jiandae kula asaliNimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
Kuna bosi mmoja aliniambia nataka nikuhamishie Halmashauri moja nzuri ila mimi nilikataa kweliNimejionea na kujifunza mengi sana Halmashauri, mkuu.
Ok tuseme umesomea huo u-Engineer, hebu nieleze kuna maengineer wangapi in total kwenye hizo Taasisi ulizozitaja?-tatizo ukisomea MD utaishia halmashauri tu huko wachache Ndio watapata vitengo vya Maana
- halmashauri,
- hata uwe doctor wa MOI,WCF,JKCI huwezi kufikia salary scale ya Engineer wa TCRA,
-na kingine Mashirika ya Umma yenye maslahi mazuri Madaktari hawahitajiki au wanahitajika Kwa uchache,eg eGA, TCRA, EWURA, LATRA,etc
daah till now kimyaleo inapita ivi ivi bila placement???? wakandaji (utumishi) wekeni pdf la kuanzia week.
Kumbe hizi halmashauri zinafanana tu. Hawa jamaa hata idara yao haieleweki. Na wengi hawajasomea transport wala logistic ni wajanja wajanja tu wamejipachikaSasa huwa kuna kile kitengo cha mafuta alooooo.... wanarogana mpaka basi
- TCRA kwa nature ya organization engineers ndiyo Wengi kuliko kada zote za ndani ya Tcra, wakati Medical Doctor hawapo.Ok tuseme umesomea huo u-Engineer, hebu nieleze kuna maengineer wangapi in total kwenye hizo Taasisi ulizozitaja?
Je unadhani wanagraduate ma-Engineer wangapi kwa vyuo vyote vilivyoko Tanzania?
Dah ngoja tusubr labda usikudaah till now kimya
Sawa mkuuTaasisi tuliyoenda kufanya usahili ( yaan chuo kilichotangaza nafasi za kazi)
Sijawahi kujua ni idara gani kwa kweli. Maana wamejipachika hasa Desk officers wa HR officeKumbe hizi halmashauri zinafanana tu. Hawa jamaa hata idara yao haieleweki. Na wengi hawajasomea transport wala logistic ni wajanja wajanja tu wamejipachika
Sahihi, most ni GEKuna wanaokuwa registered kama graduate, sio lazima experience.
Unaitwa Graduate Engineer
Around 2M GrossKwani TGBS 8 ni sh ngapi?
Mwenye fununu 1769 ya data base inafata utaratibu gani?leo inapita ivi ivi bila placement???? wakandaji (utumishi) wekeni pdf la kuanzia week.
Wakuu wa idara wengi sana tamaa sana pamoja na maslahi mazuri waliyonayo hawaridhiki.Kuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
Vipi wanakulipa vizuri au ndo hivyoKuna siku niliandaa report ambayo mimi ndiye nilienda kwenye tukio flani (yeye hakuepo wilayani). Aliporudi akakuta nakala 1 pale mezani (zingine kwa DC, DSO, DED, OCD nilikuwa bado sijapeleka), akaisoma mara kadhaa kadhaa kisha akawa ame-stuck kwenye page ya mwisho yenye jina na sahihi yangu. Lengo lake kumbe lilikuwa abadilishe jina langu aweke lake (aliniomba soft copy). Mkuu wa Divisheni akamwambia acha hivo hivo kwasababu aliyeenda sio wewe. Jamaa alikubali kishingo upande ila cha moto nilikiona [emoji3][emoji3]. Kukatokea kuna vikao vi-4 ndani ya siku 1, aliingia vyote peke yake. Anasaini hiki anadanganya amepata emergency kumbe anaenda kingine anasaini pia hivo hivo. Nikasema duh kazi ipo.
tukuulize new member wengi wenu mnakua na za ndaani sanaMwenye fununu 1769 ya data base inafata utaratibu gani?
Umejuaje ni new member!!?tukuulize new member wengi wenu mnakua na za ndaani sana
utambulisho wake umesomeka new memberUmejuaje new member!!?