Nimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
Okay.! [emoji23][emoji23]utambulisho wake umesomeka new member
Waulize Sekretarieti ya AjiraMwenye fununu 1769 ya data base inafata utaratibu gani?
Mkuu, hakuna malipo yeyote. Ninamshukuru Mungu kuna Mratibu wa TASAF asee ana roho nzuri yule mtu, ananipaga deals za ofisi yake hivo angalau maisha yanaendelea.
Hapo unazungumzia Professional Engineer, lakini entry level wengi wanapaswa kuwa registered as Graduate Engineer.Kuwa registered Engineer ni process ya muda kidogo i.e experience Kwa sababu wanataka uwaonyeshe projects ulizofanya
Wanatuyumbisha tuu, kwa vile tunawasoma namna wanavyotoa pdfs.leo inapita ivi ivi bila placement???? wakandaji (utumishi) wekeni pdf la kuanzia week.
[emoji4]kwann ulikata mkuu?Kuna bosi mmoja aliniambia nataka nikuhamishie Halmashauri moja nzuri ila mimi nilikataa kweli
Kuna mkeka unaandalia wa kufungia mwezi tuwe wapole.daah till now kimya
Kama ni kuzuri ungeenda tu mkuu.Kuna bosi mmoja aliniambia nataka nikuhamishie Halmashauri moja nzuri ila mimi nilikataa kweli
Nakubali,Hapo unazungumzia Professional Engineer, lakini entry level wengi wanapaswa kuwa registered as Graduate Engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sifa ya mwanadamu huwa hatosheki. Rejea kwa adamu na hawa.Wakuu wa idara wengi sana tamaa sana pamoja na maslahi mazuri waliyonayo hawaridhiki.
1. Posho ya nyumba
2. Posho ya mawasiliano
3. Usafiri
4. Salary super scale
5. Bajeti ya kuendesha ofisi
Na mengine mengi tu wanapata
Upo kada gani halmashauri?Kama ni kuzuri ungeenda tu mkuu.
Kiukweli kwa kada yangu ndani ya halmashauri nilipo hapo as a volunteer, kuna asali kidogo si haba. Ni vile tu hua naambiwa sipo kwenye system hivyo kuilamba ni nadra sana (hua inatokea nalamba kidogo).
Tuma vyeti fasta mkuu.Nimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
Mbona bot???AI amenijibu hivi kuhusu swali la uzi huu. Nilikuwa nachati naye huko TelegramView attachment 2569203View attachment 2569204View attachment 2569205
Ndio ni dom broMtafanyia huku Dom?
Sio bot wale jamaa wa masuala ya hela bank. Anazungumzia ile chatbot a computer program, artificial intelligence inayoweza kufanya kama human conversations unaiuliza chochote inakujibu.Mbona bot???