Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
AI amenijibu hivi kuhusu swali la uzi huu. Nilikuwa nachati naye huko TelegramView attachment 2569203View attachment 2569204View attachment 2569205
Daktari (MD) aliyeajiriwa na NGORONGORO, TPA, TAA, TANESCO weka mbali na watoto anayeaanza anavuta 3.5 MDaktari wa wapi? Kama umekua specific engineer wa TCRA mbona umeecha room kwa daktari wa wapi?
wa WCF? MOI? JKCI? au wa tamisemi?
Huyo huyo ndio AIMbona bot???
Karibuni sana Dom.Ndio ni dom bro
Tunaposema watu wanasepa na Mizinga ya Asali ndio namna hii sasa.Daktari (MD) aliyeajiriwa na NGORONGORO, TPA, TAA, TANESCO weka mbali na watoto anayeaanza anavuta 3.5 M
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hivi na nyie salary scale ni TGS au mna scale ya mishahara yenu ??Kuna nafasi moja ya Civil Engineer NAOT, haya pambaneni na karibuni NAOT
Mishahara ni scale gani?Kuna nafasi moja ya Civil Engineer NAOT, haya pambaneni na karibuni NAOT
Kuhamia taasisi zenye hela ni NGUMU SANAAA.Yesamrich ingia serikalini halafu ndio utajua figisu zilizokuwepo. Upo Kibondo Afisa biashara mko watatu wilaya nzima halafu unapeleka kibaruà chako cha kuhamia BOT. Inabidi uwe na mganga mzuri
MaliasiliUpo kada gani halmashauri?
Mkuu Karibu sana na Huku,vijana wanataka wapate ABC za kuishi Halmshauri,wape mbinu za kufanya kazi Kwa raha kama ukiwa mzoefu wa HukoKuhamia taasisi zenye hela ni NGUMU SANAAA.
#YNWA
Lakini kwa mwezi 600 hukosiMkuu, hakuna malipo yeyote. Ninamshukuru Mungu kuna Mratibu wa TASAF asee ana roho nzuri yule mtu, ananipaga deals za ofisi yake hivo angalau maisha yanaendelea.
TGS kama kawaidaHivi na nyie salary scale ni TGS au mna scale ya mishahara yenu ??
#YNWA
bajeti!bajeti!bajetiAI amenijibu hivi kuhusu swali la uzi huu. Nilikuwa nachati naye huko TelegramView attachment 2569203View attachment 2569204View attachment 2569205
Sema TGS ya NAOT imechangamka kidogo maana inashindikizwa na Extra duty kama zote wakati wa ukaguzi.TGS kama kawaida
Na Leo inaweza kupita bila pdfsiku nyingine tena wakuu
Ni KwEl wanafanya audit, ila marekebisho hatuyaoniMsiwe na wasiwasi si kuna checks and balance jamani.Kina Mwifwa(Naot) si wanafanya audit za mambo mbalimbali kila mwaka kwenye taasisi za umma?halikadhalika Tume ya utumishi wa umma nao si wana audit mambo ya utumishi wa umma. Relax system haiwezi kukosa transparency bhana. Au umesahau ile sentensi government of the people by the people and for the people.Unawakilishwa tu na vyombo mbalimbali lkn ni wewe