Vijana wanaiongelea TGS unaweza ukadhan ndo salary scale waliopo, kumbe wanaongea story za kwenye vijiwe vya kahawa. Mitaani tunaishi na watumishi wengi wa TGS kuliko hata watumishi wanaotumia scale tofauti kulingana na taasisi zao na tunashuhudia mambo makubwa ya maendeleo wanayofanya.Yaaani TGS inaonekana kuwa ni njaa vijana mna uhakika mnayajua maisha kweli? Any way tuendelee kula mtori
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)Yaaani TGS inaonekana kuwa ni njaa vijana mna uhakika mnayajua maisha kweli? Any way tuendelee kula mtori
Ulianza kwa kuikanda ofisi ya CAG au NAOT ndo nikapata wasiwasi juu ya uelewa wako wa mambo. Point yangu sio halmshauri zote zina njaaUlishasoma andiko langu juu ya njaa za watumishi wa Halmashauri za vijijini, kama Mpumbwe, Ukerewe, Momba na Tanganyika?
#YNWA
Shida vijana wanataka waanze kazi na mishahara kama ya BOT,EWURA,TASAC NA EGA mi nimekutana na kitu cha tgs na nimekubali na maisha yatasongo bora kitu kuliko kukosa kituYaaani TGS inaonekana kuwa ni njaa vijana mna uhakika mnayajua maisha kweli? Any way tuendelee kula mtori
Vijana wanaiongelea TGS unaweza ukadhan ndo salary scale waliopo, kumbe wanaongea story za kwenye vijiwe vya kahawa. Mitaani tunaishi na watumishi wengi wa TGS kuliko hata watumishi wanaotumia scale tofauti kulingana na taasisi zao na tunashuhudia mambo makubwa ya maendeleo wanayofanya. Wote hatuwez kufanya kazi TRA, TCRA,TMA, BOT etc. Juz kat kuna staff wa tra kafukuzwa kaz Kisa kuiba office equipments
Inajadiliwa.Pia bajeti yake haijadiliwi bungeni
Shida vijana wanataka waanze kazi na mishahara kama ya BOT,EWURA,TASAC NA EGA mi nimekutana na kitu cha tgs na nimekubali na maisha yatasongo bora kitu kuliko kukosa kitu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
TGS ukiwa Halmashauri ni njaa.Ulianza kwa kuikanda ofisi ya CAG au NAOT ndo nikapata wasiwasi juu ya uelewa wako wa mambo. Point yangu sio halmshauri zote zina njaa
Niko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.
Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.
TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.
HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil
Wapi njaa?
#YNWA
Usidanganye vijana..Mi mwenyewe nipo halmashauri kumbe shida ni halmashauri uliyopo, then tatizo sio TGS hata hazina account officer asie na CPA anaanza na 745,000 ila uliza kati ya brela na hazina wapi njaa
Inajadiliwa kwenye wizara gan???Inajadiliwa.
Poa, endelea kuwaelimisha vijanaUsidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.
Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.
Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.
Halmashauri hakujawahi kueleweka.
#YNWA
Kumbe brela mna mzinga kabisa duhNiko Halmashauri miaka 11 (since Feb 2012)
Katika mshahara ambao huwa sishauri kijana achukue ni TGS na hasa iwe halmashauri ya vijijini.
Nachowashauri, ingia TGS pata Cheki namba halafu sepaaa kwenye taasisi huko.
TGS ni njaa tu, unless una madili na maposho mengii mjini.
HR mwenye kuanza Kazi Leo Halmashauri ni TGS D = 745k HR huyohuyo akianza BRELA 1.6Mil
Wapi njaa?
#YNWA
Sasa watu wote wakiondoka huko halmashauri nani atafanya kazi...kikubwa kila mtu ana fungu lake na vijana tujifunze kuridhika...hakuna mwanadamu asipenda kupata pesa nyingi lakini kila mtu ana fungu lake ww kama lako ni halmashauri ridhika maisha yasongeUsidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.
Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.
Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.
Halmashauri hakujawahi kueleweka.
#YNWA
Kuridhika ndio chanzo cha UMASIKINI.Sasa watu wote wakiondoka huko halmashauri nani atafanya kazi...kikubwa kila mtu ana fungu lake na vijana tujifunze kuridhika...hakuna mwanadamu asipenda kupata pesa nyingi lakini kila mtu ana fungu lake ww kama lako ni halmashauri ridhika maisha yasonge
Umeuliza vizuri sana.Inajadiliwa kwenye wizara gan???
Weka link ya huo uzi mkuu.Ulishasoma andiko langu juu ya njaa za watumishi wa Halmashauri za vijijini, kama Mpumbwe, Ukerewe, Momba na Tanganyika?
#YNWA
Moyo ueleeNasemaje!!! Nasemaje!! Nasemajeeee Wa kanzi data kunyweni maji mengiiiiiii
Kuna Jamaa yangu yeye ndio anapataka huko Tamisemi.Sasa watu wote wakiondoka huko halmashauri nani atafanya kazi...kikubwa kila mtu ana fungu lake na vijana tujifunze kuridhika...hakuna mwanadamu asipenda kupata pesa nyingi lakini kila mtu ana fungu lake ww kama lako ni halmashauri ridhika maisha yasonge