Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Sasa mtumishi wa NOAT anazunguka halmashauri kibaoo kufanya ukaguzi wa hesabu utamfananisha na FMO wa Mkoa au Muhasibu wa Halmashauri wanaolilia madokezo ya extra duty?Poa, endelea kuwaelimisha vijana
Hajafika huyo..Kuna Jamaa yangu yeye ndio anapataka huko Tamisemi.
Anakuambia hataki mjini kabisa.
Sio wote hawataki kufanya kazi Halmadhauri. Wengine wanataka na wanaridhika.
Mkuu mwanzon ulianza kwa kusema kumbe NAOT nako kuna njaa Kisa wanatumia TGSSasa mtumishi wa NOAT anazunguka halmashauri kibaoo kufanya ukaguzi wa hesabu utamfananisha na FMO wa Mkoa au Muhasibu wa Halmashauri wanaolilia madokezo ya extra duty?
#YNWA
Kwenye vituo vinavyozalisha umeme mfano Mtera wana Vituo vyao vya Afya.Tanesco nako kuna wauguzi?
Majukumu yao ni yapi sasa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe NAOT nako NJAAAAAAAA
#YNWA
Nimekuelewa Vizuri Mkaguzi.Kwenye vituo vinavyozalisha umeme mfano Mtera wana Vituo vyao vya Afya.
Ni matumaini yangu umenielewa
kuna lonja mkuu?Nasemaje!!! Nasemaje!! Nasemajeeee Wa kanzi data kunyweni maji mengiiiiiii
Muhim chombo cha moto boss sio[emoji23][emoji1666][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila hawakosi IST
Muhim chombo cha moto boss sio[emoji23][emoji166
Oya DED anakuletea miyeyusho[emoji16],,,anaona kama ukiondoka utafaidi sio..!Kuridhika ndio chanzo cha UMASIKINI.
Marufuku kukata tamaa.
Hata Mimi Nina barua yangu DED hataki kusaini ili niondoke, ila asichojua nitaondoka tu ATAKE ASITAKE.
#YNWA
Nasemaje!!! Nasemaje!! Nasemajeeee Wa kanzi data kunyweni maji mengiiiiiii
Si ndiyo[emoji1666]Mwambie huyo...likishakuwa na matairi manne hilo ni gari na akumbuke ukiwa nalo msimu wa mvua hunyeshewi..
Data ina baseNasemaje!!! Nasemaje!! Nasemajeeee Wa kanzi data kunyweni maji mengiiiiiii
Lakini huu ushauri kumpa kijana ambaye hana hata mia hana kazi ameelemewa mzigo wa majukumu ni ngumu sana kukuelewa huu ushauri unawafaa wenye mahali wamejishikiza na wanaishi fresh.Usidanganye vijana..
Katika ofisi ambazo sio za kufanya Kazi ni TAMISEMI yaani mkoani na Halmashauri.
Kuna undezi mwingi sanaaa huku njaa juu.
Mabosi kibao, maagizo kibao mambo, MAMBO VURURU VURURUU.
Halmashauri hakujawahi kueleweka.
#YNWA
Kuna habar gan au ndio mzigo unaachiliwaData ina base
Braza jana nilipita ofisini kwako kuangalia parking yenu bwana kiukweli sio zaidi ya beforward ni kama bandarini Meli ikishusha mzigo wa magari[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila hawakosi IST
Tatizo watu wanaruka stage kikubwa upate ajira then hayo mambo ya mishahara utajua mbeleni.Lakini huu ushauri kumpa kijana ambaye hana hata mia hana kazi ameelemewa mzigo wa majukumu ni ngumu sana kukuelewa huu ushauri unawafaa wenye mahali wamejishikiza na wanaishi fresh.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu tunakuhitaji sanaa humu, uendelee kututia moyo kuna vijana waeshakuwa desperate kabisa kutokana na stories za kughushi kuhusiana na tgs.Nimegundua hum ndani watoto ni wengi sana wanaoishi kwa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa, hata halmashaur sio kote kwenye njaa kama inavyoongelewa, nenda hamshauri zenye mapato mengi kama Mafinga city au mufindi, ilala, nyamagana na nyinginezo uone balaa lake. Angalia hata mfanyakaz wa Hazina tu ambao nao wanatumia TGS uone kufulu, hapo nazungumzia mishe halali sio magumashi
Kapambane mkuu, huko Wizarani si sawa na Halmashauri, kikubwa ni kujiongeza tuu.Shida vijana wanataka waanze kazi na mishahara kama ya BOT,EWURA,TASAC NA EGA mi nimekutana na kitu cha tgs na nimekubali na maisha yatasongo bora kitu kuliko kukosa kitu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app