HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ña PSRS pia ipunguziwe majukumu, waachie taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe, alafu wao wapelekewe data TU
 
We jamaa utakua na asili flani ya unoko unoko hivi, kiranja au monitor mstaafu!
Hahahaha we jamaa tuheshimiane basi,hatufahamiani,Mimi nipo jukwaa Huru kusema lolote,Kwa kuwa ni mawazo yangu,sifungwi,ukiona ninachosema kina kukera katika namna Moja au nyingine unaweza pita bila ku comment.

Sasa Mimi nimeongea jambo gani Baya Hapo?? Kusema Kikubwa kuingia kwenye mfumo haijalishi Mshahara gani ni kosa???🤭
Mwifwa
Liverpool VPN
yesamrich
mfwende sawadogo
 
Check number ikitiki unikumbuke hata vocha[emoji19][emoji19][emoji19]
 
😷
 
Expectations kills wandugu we should keep our expectations to the minimum level ili kujiandaa na matokeo halisi mfano watu wa TMO II juzi waliitwa 700 oral na kila mmoja kati yao alikuwa na uhakika kwa kurefer placement iliyopita za TRA lakini sasa kilichokuja kutokea hakuna aliyeamini mpaka sasa.

Sasa hili swala la database tunaweza kusema ni politics on field kwasababu kazi ya database inajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…