Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Kuna position hazipo kwenye tarehe Ila sio za database, ni interview za mwez February, evidence nnazo Ila siwez kuziandika hapa. Hakuna mkeka utaokuja full na majina yote yanayotosheleza nafasi zilizotangazwa mfano MDAs na LGAs kwa post ya Accounting officer II zilikua nafasi 100, usitegemee siku mkeka utatoka wa majina 100, ni mwendo wa kudonoa, na neno data base halitokosekana
Ndo kapungua hivyoKuna mdau kaonekana kwenye pdf hapo tume ya ardhi tulipiga nae February 13, 2023 sijajua katika idadi ndo kashapungua au la mana ndo wa kwanza toka tumepiga oral
Umeshampigia kumpongeza?Hongera kwao waliolamba asali. Nimemuona Dr mmoja roommate wangu kalamba asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kama Mungu amekupangia na unajua hawa wanavyokupeleka huko.wanakuharibia kisaikolojia na hata taaluma yako inapotea taratibuYani mkuu hawa watu hawajui halmashauri zilivyo. Pale kila mtu ana kitengo chake hata kama ana certificate. Sasa wewe ndio umeajiriwa na CPA yako ukifika tayari ni threat watakupeleka ukawe muhasibu wa sekondari au zahanati. Nina mengi ya kuandika kuhusu halmashauri hasa hizi za mjini
Matangazo wanatoa , ingia google andika ajira mtera tanesco, au kidatu, kiansi n.k awali walikuwa wanaajili wao moja kwa moja ila sasa wanapitia ajira portal mfano kama sio mwaka 2020 basi 2021 tanesco kwenye hivyo vituo vya kufua umeme waliajili nesi, security officer, na mwalimu wa daycare zao na hawa wote wanalipwa vizuriNimekuelewa Vizuri Mkaguzi.
Sema tangazo lao la kazi sijawahi ona.
[emoji4][emoji4][emoji4], kesho nitapigiaUmeshampigia kumpongeza?
Ohooooo, Pole sana mwamba...itakuwa umepangwa taasisi nyingineNimepigwa Ndoige moja ya hatari sana RUWASA[emoji28]
pole mkuuNimepigwa Ndoige moja ya hatari sana RUWASA[emoji28]
mm wamechukua 12 kutoka databaseNaona na database imeguswa kidogo kada yangu tulifanya oral tareh 15 February 2023 wamelamba asali 4 hongera zao
Hawakuwepo written?Naona na database imeguswa kidogo kada yangu tulifanya oral tareh 15 February 2023 wamelamba asali 4 hongera zao
Taasisi ipi hiyo[emoji23]
Asante mkuupole mkuu
Ni kusonga mbele tu hamna kugeuka nyuma,usikate tamaa.Nimepigwa Ndoige moja ya hatari sana RUWASA[emoji28]