HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu

Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview

lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Hongera champ.....sorry kaka ulipiga oral ya interview ipi kaka ambayo ndo imekutoa kwnye database?
 
Nahisi majibu ndo haya haya, hata ukichukulia mfano ulifanya interview taasisi flani lakini ukachukuliwa kwa database taasisi flani..lazima scale inakua ya huko ulipoenda
 
Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana mkuu
 
Hongera sana
 
Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu

Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview

lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Umesubiri muda gani since last interview oral????
 
Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Hongera sana mwamba,ukawe mtumishi mwema, Mungu ni mwema sana,Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi sana. Haijalishi ni changamoto zipi unapitia ila palipo na Juhudi za kupambana Mungu anabariki,Naimani umejionea mwenyewe.

Sote tusikate tamaa, Mungu wetu ni mwema sana.
 
Nasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu

Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview

lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Nakumbuka ulikuwa unasema hakuna Database na ukawakandia sana PSRS,tukasema tulia ni suala la Muda tu,naimani sasa utakuwa wakala mzuri wa PSRS na utajua ya kuwa hii Taasisi inafanya kazi Kwa weledi Mkubwa na wanajua majukumu Yao vyema.....Kikubwa ni Subra na Wakati sahihi wa Mungu.

Yote Kwa yote Hongera sana,huu ndio Wakati Sahihi wa Mungu,na Mungu ndiye kapanga uende Taasisi hiyo uliyopata Sasa.Hongera sana na ukawe Mtumishi mwema.
#Kazi iendelee
#Mapambano yaendelee
 
pdf ndefu ila sijaotea kuwemo database ya leo -ASA

next time champs.

mliopata njooni mtupe faraja hapa
Always Next time,bro nina imani kuna sehemu umeshalamba asali as long as ulifanya oral vizuri...kuna mdogo wangu alikosa sehemu asali na kina mwifa pale akasikitika sana kwa kuamini kuwa alistahili kwa namna alivyojibu,muda ukapita akazoea na maisha yakaendelea,wakaanza kutoka aliofanya nao yy hayupo lkn kaja kulamba asali sehemu ya nyuki wadogo bila kutarajia kabisa.

Mwisho kakuta placement yake ilikuwa ya muda mrefu tu kumbe muda wote anasononeka barua yake ilikuwa tyr japo mkeka ndio ulikuwa bado.
 
Mungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli god is there na anajibu tusikate tamaa

Hongera mkuu karibu sana kwenye utumishi wa umma

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Watumishi wa tasisi moja hawawezi kuwa na salary scale tofauti. Labda itokee mtu ulikuwa TRA/eGA ukavuruga ukahamishiwa halmashaurii Kakonko. Hapo utaendelea kulipwa kwa scale yako ya awali utatofautiana na hao uliowakuta Kakonko.

Kuwa na amani mzee ila ukinunua NISSAN DUALIS usininyime lift mimi wa halmashauri
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kapambane mkuu, huko Wizarani si sawa na Halmashauri, kikubwa ni kujiongeza tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara kumi wizarani.

Wizara zina shughuli nyingi Hela za hapa na pale ni nyingi sana.

Ila inategemea kitengo na kitengo maana sio vitengo au idara zote zina pilikapilika za hapa na pale na per diem
 
"Akili za kuambiwa changanya na zako"-mkwere Mr kikwenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…