Hongera Kwa kupata kazi mkuu, hayo ya kuwa mtumishi mwema ni juu yako mwenyeweNasemaje Database ipo
Ni suala la muda tu
Nilikata tamaa na ajira za utumishi nikaahidi sitoenda dodoma tena kwa ajili ya interview
lakini hatimae nimechaguliwa kwenye database
Hapo safiMwaka huu naenda piga shule nianze mapema kabla mvi hazijashimiri kichwani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aaaaa kabisa mkuu, wewe si ndo upo kwenye ofisi ya kiranja wa nidhamu serikalini... Na jana mmeshabumbulua madudu huko mpaka mama akachafukwa..mimesikia "stupid"[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]aloooHongera Kwa kupata kazi mkuu, hayo ya kuwa mtumishi mwema ni juu yako mwenyewe
ila makubaliano yetu ni yale yale ata kama umepata kazi we endelea tu kupondea Utumishi ili tuendelee kuwa Pamoja
Ukianza tu kusifia/kuongelea mazuri ya utumishi hatutakutambua kama #Abdul tena bali tutakupa jina la Wakala wa utumishi kama ilivo kwa wenzio
Kwahiyo kuwa mwangalifu na uchaguzi wa maneno katika kuchangia hoja zetu sie watu wenye tusio na subira, watu wenye makasiriko na watu wenye husda za kujificha ficha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nimelamba ruwasa na stutus inaaoma selected for oral Web na appHongera sana afsa umelamba taasisi gani , na status inasomaje mkuu kwa app tupeane faraja?
Asante sana MadamHongera sana boss,ukawe mtumishi mwema.
Asante sanaHongera sana mkuu
Asante sana MadamHongera sana
AMEN 🙏🏾, ASANTE SANA MKUUHongera sana mwamba,ukawe mtumishi mwema,Mungu ni mwema sana,Wakati wa Mungu ni Wakati sahihi sana.Haijalishi ni changamoto zipi unapitia ila palipo na Juhudi za kupambana Mungu anabariki,Naimani umejionea mwenyewe.Sote tusikate tamaa,Mungu wetu ni mwema sana.
Asante Sana KiongoziHongereni sana wote mlofanikiwa kuingia kwenye ajira rasmi serikalini. Mkawe watumishi bora katika nafasi zenu.
Nasi tunaendelea kusubiri wakati wetu pindi utakapofika.
Asante sana Kaka
Asante Kaka nimepata RUWASA
Hongera mkuuMkuu nimelamba ruwasa na stutus inaaoma selected for oral Web na app
Asante sanaHongera mkuu
Tuzid kusema na ikibid tumjulishe mama atusaidie suala la database la mhagama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo hatua huwa hazichukuliwi.
Sisi kazi yetu ni kuibua madudu na kushauri, kazi kwenu kutekeleza na kuchukua hatua
yaah mkuu maana kitaa njaa kaliUnaona sasa utumishi wanatoa PDF za kueleweka
Sasa tupaze sauti kuhusu PDF la database la waziri ili tupate ufafanuzi na majibu