Post za BBA,Accounts, Economy, HR watu huwa ni wengi sana tofauti na hizi za science. Kuna hizo Microbiology UDSM Shortlisted 26 waliokuja written interview 3.Inaonekana wengi humu tunasubilia mkeka wa mda and lgas..mungu atubaliki tuweze kupata maana hustle ni nying sana kitaa lifu alieleweki..ukiacha mm nano mwingine anasubilia mkeka wa mda na kitengo gan? Mimi binafsi Niko pale kwa economist aisee dude liteme tu
2,000,000hivi wadau mshahara wa ngazi ya diploma kwa walioajiriwa na chuo ni kiasi gani?
Wewe jamaa elimu yako haijakusaidia huna tofauti na layman. Msomi hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika nacho.2,000,000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], mwamba umevurugwa au ndo unamvuruga jamaa?2,000,000
Which what[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!2,000,000
Yah! asilimia kubwa humu ndani ni MDAs & LGAs. nahisi ndio utakuwa mkeka wa mwisho wa kufungia mwaka 2023.Inaonekana wengi humu tunasubilia mkeka wa mda and lgas..mungu atubaliki tuweze kupata maana hustle ni nying sana kitaa lifu alieleweki..ukiacha mm nano mwingine anasubilia mkeka wa mda na kitengo gan? Mimi binafsi Niko pale kwa economist aisee dude liteme tu
Na wengi sasa wanaotoka data base ni wa nov-feb 2023....Unaona sasa utumishi wanatoa PDF za kueleweka
Sasa tupaze sauti kuhusu PDF la database la waziri ili tupate ufafanuzi na majibu
Labda wameanza na wa No-feb 2023 then ndio watarudi miaka ya nyuma. lakini nasikiaga wakurungwa wanasema ckuizi database inatunza watu for 1 year. ikizidi apo bila placement inakula kwako.Na wengi sasa wanaotoka data base ni wa nov-feb 2023....
Tuzidi kuhoji tupewe ufafanuzi na Mh.
Kitaa njaa kali
Mzee pdf la database unalitaka ww kwmba litoke watu wa database peke yake hilo ni ngumu,watu wananyofolewa database kila mkeka na idadi ndo inazidi kusogea...Unaona sasa utumishi wanatoa PDF za kueleweka
Sasa tupaze sauti kuhusu PDF la database la waziri ili tupate ufafanuzi na majibu
Toka tamko la Mh Mhagama!!inamaana walio fanya usail kuanzia feb(2022) wapo ndani ya mwaka. Kama saili zinachukua mwaka mzima kuita mpaka kuwapangia watu kazi haileti maana ya kusema data base mwaka mtu anatoka....Labda wameanza na wa No-feb 2023 then ndio watarudi miaka ya nyuma. lakini nasikiaga wakurungwa wanasema ckuizi database inatunza watu for 1 year. ikizidi apo bila placement inakula kwako.
Tatizo wanatangaza kazi za Kada zilezile ambazo database watu wapo ili kutafuta posho na hiyo sio sawa hata kidogo.Ukiangalia flow ya PDF utagundua hakuna single PDF kwa database peke yake watu wanapunguzwa na kuongezeka . Kila Oral interview inazalisha CANDIDATES wa database na kila baada ya mwaka kuna candidates kwenye database wana expire.
Basi wangejitahid ambao waliofanya mwaka Jana wapate kwanza wa database alafu waje wa mwaka huu sababu mda inaexpire na wengine watakosaToka tamko la Mh Mhagama!!inamaana walio fanya usail kuanzia feb(2022) wapo ndani ya mwaka....
Kama sail zinachukua mwaka mzima kuita mpaka kuwapangia watu kazi haileti maana ya kusema data base mwaka mtu anatoka....
Hapa wanatupanga!!!
TRA Mama(rais) asingeleongea wangetoa majina kwa kuchelewa na wangetangaza tena japo analundo la watu aliowaita oral...Wawe na huruma na hofu ya Mungu hata kama per diem ni Tamu!!!
Mungu amsimamie Mama(rais) anaupendo sana na vijana
Ukiangalia wengi wetu Hali duni hata kupata nafasi ya kuhudhiria interview ni kipengele hivy wangejitahid mtu akifaulu sio anaishia database alaf inaexpire tenayaah mkuu maana kitaa njaa kali
With vivid example hiyo PDF ya database asa kwanini sasa hv hawatak kutoa hizo nafas 1767 za waziri alizosemaUkiangalia flow ya PDF utagundua hakuna single PDF kwa database peke yake watu wanapunguzwa na kuongezeka . Kila Oral interview inazalisha CANDIDATES wa database na kila baada ya mwaka kuna candidates kwenye database wana expire.
Kama elimu yangu haijanisaidia wewe inakuhusu nini?.Wewe jamaa elimu yako haijakusaidia huna tofauti na layman. Msomi hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika nacho.
Mshahara 2m, Posho ya nyumba laki6, Posho ya nauli laki3, Posho ya Umeme na maji laki3, Posho ya mavazi laki4[emoji1787][emoji1787][emoji1787], mwamba umevurugwa au ndo unamvuruga jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana Ndugu! Ikawe kheri kwakoMungu ni mkuu sasa nami nimeona jina langu kwenye list, hongereni mliopata na wote ambao hamjapata tuendelee kupambana kwani mungu anajibu kwa wakati sahihi, nikiangalia changamoto nilizonazo kweli God is there na anajibu tusikate tamaa
Yenye majina machache kama hii possibility ipo kabisa na mimi naiona ila 1700+ one time placement sina uhakikaWith vivid example hiyo PDF ya database asa kwanini sasa hv hawatak kutoa hizo nafas 1767 za waziri alizosema
Hapo wanatoa kidogo kidogo kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia....boss mpk anazungumza vile Inamaana ameona mapungufu ya serikari....kama tamisemi wanatoa watu zaidi ya 9,000 washindwe utumishi...Yenye majina machache kama hii possibility ipo kabisa na mimi naiona ila 1700+ one time placement sina uhakika