Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 305
- 786
Mungu ampe nn tena mwajiriwa wa chuo[emoji23]Hizi zote anapata mwajriwa wa Chuo?
Kila pdf ina watu wa database mkuu,Sio yenye machache kwani wanavyoandaa pdf ya call for interview watu hadi buku 3 ndio washindwe PDF la database
Wakuu tusikubali inabidi tupambanie wote na tudai PDF la database tupost social media mbalimbali hadi imfikie rais tuombe kina mange malisa na wanaharakati kibao watupostie sabab hii ni kuleta tension kwa jobless alaf wanaingia mitini.
Lazima tukubali kuwasagia kunguni na kulalamika had ahad ya waziri aliyosema tuone imetekelezeka
Hapana hiyo sio sahihi kwa maagizo ya waziri ilitakiwa PDF itoke moja au watoe majina ya waliopo hiyo database 1767 otherwise wanazuga tu mwisho wa siku uambiwe majina yalitoka woteKila pdf ina watu wa database mkuu,
Wanaweza wakaweka pdf moja na still 90% of the names ikawa ni watu wao[emoji848],so ni sawa tu na hivi kusema wanatoa kidogo kidogo kila pdfHapana hiyo sio sahihi kwa maagizo ya waziri ilitakiwa PDF itoke moja au watoe majina ya waliopo hiyo database 1767 otherwise wanazuga tu mwisho wa siku uambiwe majina yalitoka wote
Turudi mbele zake Bwana best looser ...Wanaweza wakaweka pdf moja na still 90% of the names ikawa ni watu wao[emoji848],so ni sawa tu na hivi kusema wanatoa kidogo kidogo kila pdf
Ni kuomba tu Mungu jina lako liwepo in any of the pdf wanazotoa sasa hivi
Ila bado haijathibitika kama ni kweliMungu ampe nn tena mwajiriwa wa chuo[emoji23]
Mungu awatangulie kwakweli.Turudi mbele zake Bwana best looser ...
Maana kila ukifikiria hili pdf unaweza kukata tamaa Ila simama Imara
Bwana atasikia kilio chetu
[emoji120][emoji120]Mungu awatangulie kwakweli.
Hata sisi wa MDA LGA hakuna single pdf kama watu wengine ni mwendo wa kuchomoa mdogo mdogo,tumeaccept so long as idadi haijtimia we believe pdf znazofata tumo kwa uwezo wake Mungu
😂😂😂Muhimu sana asipoteze flash huko atakapopita[emoji3][emoji3][emoji3]
Amina na iwe Ivo🙏Mungu awatangulie kwakweli.
Hata sisi wa MDA LGA hakuna single pdf kama watu wengine ni mwendo wa kuchomoa mdogo mdogo,tumeaccept so long as idadi haijtimia we believe pdf znazofata tumo kwa uwezo wake Mungu
😂😂😂 Battle between database 2022 and Freshers from oral interview 2023 MDA and LGA since mei 2022 kumbe kuna makubaliano😂😂😂😂🙌😂😂😂 we jamaa.
Si tumekubaliana database wanachukua kidogo kidogo mahitaji yanapojitokeza?
Hata Kama hawawez weka watu wao wote Bora watoe ijulikane umekosa kuliko hi torture ya kidg kidg sijui uvumilie kitu ambacho huna uhakika.Wanaweza wakaweka pdf moja na still 90% of the names ikawa ni watu wao[emoji848],so ni sawa tu na hivi kusema wanatoa kidogo kidogo kila pdf
Ni kuomba tu Mungu jina lako liwepo in any of the pdf wanazotoa sasa hivi
Hata hiv wanavotoa kidogo unaweza check pia,si unajua kada yako unacheck yale majina unahakikisha kama walifanya written yake.Hata Kama hawawez weka watu wao wote Bora watoe ijulikane umekosa kuliko hi torture ya kidg kidg sijui uvumilie kitu ambacho huna uhakika.
Wakitoa PDF moja itasaidia kupunguza sintofahamu na mianya ya kupenyeza mtu kwan website matokeo ya written yapo PDF zote hvy wakiandaa hayo majina wanafanya check up kama ndio waliofanya usahili mbona simple tu
Nasubiri pia hizi za MDA kuna jamaa angu kapata jeshi la polisi kama mhasibuMungu awatangulie kwakweli.
Hata sisi wa MDA LGA hakuna single pdf kama watu wengine ni mwendo wa kuchomoa mdogo mdogo,tumeaccept so long as idadi haijtimia we believe pdf znazofata tumo kwa uwezo wake Mungu
Duh hongera yake,alishapitiaga jkt au?Nasubiri pia hizi za MDA kuna jamaa angu kapata jeshi la polisi kama mhasibu
Unatuambia nini wewe?? Sisi tunataka pdf la database watu 1767 kama alivyosema waziri. Tutaenda hadi kwa Mange ili mradi tuwachongee mama aone. Hatuwezi kupotezewa muda kwa uzembe wa wapenda “padiemu”😂😂Ishu ipo hivi makamanda, Iyo PDF ya database wakitoa kidogo kidogo sawa, wakitoa kwa pamoja sawa. Kama jina lako limepangwa litatokea tu na kama jina lako halijapangwa halitatokea hata wakitoa majina 1700+ kwa pamoja. Kuhusu kusema Utumishi wanatuweka njia panda kufanya mambo yetu sikubaliani nalo kwasababu Utumishi hawajakuambia eti usifanye biashara au usilime kisa unasubili PDF ya database. TUBADILIKENI MAKAMANDA, tusipende kila kitu kutoa lawama. MIMI BADO sijalamba asali ya utumishi ila hainizuii kufanya mambo yangu kisa eti nasubili PDF ya database. WAKE UP GUYS.
I think wanaosubr database wanajua hilo bas tu ni udhaifu wa mwanadamu esp kwa jobless ambae hana mishe yoyote at all.Ishu ipo hivi makamanda, Iyo PDF ya database wakitoa kidogo kidogo sawa, wakitoa kwa pamoja sawa. Kama jina lako limepangwa litatokea tu na kama jina lako halijapangwa halitatokea hata wakitoa majina 1700+ kwa pamoja. Kuhusu kusema Utumishi wanatuweka njia panda kufanya mambo yetu sikubaliani nalo kwasababu Utumishi hawajakuambia eti usifanye biashara au usilime kisa unasubili PDF ya database. TUBADILIKENI MAKAMANDA, tusipende kila kitu kutoa lawama. MIMI BADO sijalamba asali ya utumishi ila hainizuii kufanya mambo yangu kisa eti nasubili PDF ya database. WAKE UP GUYS.
Hapana, alipangiwa placement tuDuh hongera yake,alishapitiaga jkt au?