HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sawa endelea kulisubili litakuja.
 
Watu wanakaza ubongo, kusubili PDF ya 1,767 wakati wanaona kila PDF ikija inakuja na watu wa database.
 
Sio kweli, nikweli waliombewa kibali ili wapewe ajira permanent lakin walikataliwa, bado wanaendelea kusain mkataba wa mwaka mmoja mmoja.
Ooh sawa sawa Mkuu, maana nikashangaa jamaa anasema asilimia kubwa wameshaingizwa hazina wamebaki wachache ndo wanawaingiza taratibu taratibu..
 
Tuone kesho kama wtaachia pdf

Wazee wa database mtaa unatunguza na moto wa msoto ,hasa kama upo mageto hapa kwa makala nk, ukikaa kwa mama /shemeji ako ama unapigwa tafu na ndugu huwezi elewa tough situation za mtaa. utaona tunaotaka compiled pdf ya 1700+ kama hamnazo vilee.
 
Mkuu, acha tu. Naelewa hali ya hili jiji. Msoto wa hapa jijini unaousemea wala sihitaji kusimuliwa, naujua vizuri. Wikendi hii nalazimika kurudi Halmashauri ninapo-volunteer sasa.
 
Mkuu, acha tu. Naelewa hali ya hili jiji. Msoto wa hapa jijini unaousemea wala sihitaji kusimuliwa, naujua vizuri. Wikendi hii nalazimika kurudi Halmashauri ninapo-volunteer sasa.
ninoma jpo nchini kote hali ya vijana si shwari
 
Hivi Mda na Lga hawawezi kutoa pdf Moja? Kama pdf la Naot,Tra etc
Nafikiri haiwezekani kwa sababu MDA na LGA ni mashirika mbalimbali ya umma na yote kwa pamoja hayawezi kuwa na uhitaji wa watu kwa wakati mmoja.

Hilo ndio linafanya watu wawekwe kidogo kidogo kulingana na uhitaji wa mashirika.

Haya ni mawazo yangu
 
Tangazo la kazi Lina idadi ya watu wanaotakiwa . Au kwenye tangazo mathalani wanaandika nafasi 100 wanajitungia?
 
Nafikiri haiwezekani kwa sababu MDA na LGA ni mashirika mbalimbali ya umma na yote kwa pamoja hayawezi kuwa na uhitaji wa watu kwa wakati mmoja.

Hilo ndio linafanya watu wawekwe kidogo kidogo kulingana na uhitaji wa mashirika.

Haya ni mawazo yangu
Et me kuna mda nafkr kua yale mashirika/halmashaur yaliyotangaza kazi placement zao zikitoka ndo MDA LGA tunapachikwa humo[emoji848]
 
Nafikiri haiwezekani kwa sababu MDA na LGA ni mashirika mbalimbali ya umma na yote kwa pamoja hayawezi kuwa na uhitaji wa watu kwa wakati mmoja.

Hilo ndio linafanya watu wawekwe kidogo kidogo kulingana na uhitaji wa mashirika.

Haya ni mawazo yangu
Muongo wa PSRS unasema taasisi zinatakiwa kupeleka maombi ya kupata watumishi wapya mwanzoni mwa mwaka yani January...

Maana yake PSRS wanakua na list ya taasisi zote zinazohitaji watu, kazi inabaki kupanga ratiba ya mchakato wa ajira tu.
 
Hello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa?

Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
 
Je huyo mtu ameshafata barua PSRS? Amepeleka kwa muajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…