APo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane😅😅Utakuwa haufuatilii PDF.
Mara nyingi PDF zinatoka usiku, wadau washawahi kusema, ifikapo usiku jam ya wanaotembelea tovuti inakuwa sio kubwa na wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)
Utakuwa haufuatilii PDF.
Mara nyingi PDF zinatoka usiku, wadau washawahi kusema, ifikapo usiku jam ya wanaotembelea tovuti inakuwa sio kubwa na wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)
APo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane😅😅wao inakuwa rahisi ku aplodi. (sina uhakika lakini)
daah watu hamtaki kuripoti!! wengine tupo tayari hata kuripoti gamboshi huko ama ilejeHello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa? Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
[emoji23][emoji23][emoji23]daah watu hamtaki kuripoti!! wengine tupo tayari hata kuripoti gamboshi huko ama ileje
Nilisahau jambo, tukumbuke pia kila shirika mipango yake na taratibu zake za kupokea watumishi wapya, hili linachangia sana utofauti wa kuita watu wakaanze kazi.Tangazo la kazi Lina idadi ya watu wanaotakiwa . Au kwenye tangazo mathalani wanaandika nafasi 100 wanajitungia?
Don't worry My friend kama tpdc, iyo ni asali pure kutoka kwenye masega, kama higher institutions, bado sio Habar, kama hakuwa na mkopoHabari ndugu zangu , Tumsifu Yesu Kristo , Bwana Yesu asifiwe na Asalamalekum.
Naomba kujuzwa jambo moja hizi post za MDA na LGA salary scale zake zilikuwa ni za TSG kwa mujibu wa tangazo la kazi, ninachotaka kujua ni kwamba iwapo mtu ukapangiwa kwenye let say MDA kwa taasisi zinazojitegemea kimishahara na ambao wanatumia salary scale zao, mfano mtu amepangiwa Afisa ukaguzi wa ndani( Internal audit officer ) labda TPDC au kwenye vyuo vikuu au taasisi za elimu, mwajiriwa huyu atalipwa mshahara kwa kutumia salary scale ya TGS au ya kule alipopangiwa kituo cha kazi?
Sawa mkuu, hakuna asiyependa helaAPo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane[emoji28][emoji28]
APo hakuna correlation mkuu ila kikubwa ni over time wanaonekana wanapiga kazi hadi usiku wa manane[emoji28][emoji28]
Aisee,na hapo unakua usharipoti kituo cha kaz na barua? So unarudshwa tena kusubria sim iite[emoji848],au wanawajulisha mapema kabla kuripot?Nilisahau jambo, tukumbuke pia kila shirika mipango yake na taratibu zake za kupokea watumishi wapya, hili linachangia sana utofauti wa kuita watu wakaanze kazi.
Mfano, placement ya akina meck pro ilipotoka waliambiwa wasubiri watapigiwa simu, walisubiri kwa takribani miezi 3 ndipo wakaitwa kwenda kuanza kazi. Hii ni mojawapo ya sababu.
Sawa wakalaNakumbuka ulikuwa unasema hakuna Database na ukawakandia sana PSRS,tukasema tulia ni suala la Muda tu,naimani sasa utakuwa wakala mzuri wa PSRS na utajua ya kuwa hii Taasisi inafanya kazi Kwa weledi Mkubwa na wanajua majukumu Yao vyema.....Kikubwa ni Subra na Wakati sahihi wa Mungu.
Yote Kwa yote Hongera sana,huu ndio Wakati Sahihi wa Mungu,na Mungu ndiye kapanga uende Taasisi hiyo uliyopata Sasa.Hongera sana na ukawe Mtumishi mwema.
#Kazi iendelee
#Mapambano yaendelee
Kabisa mkuu cha muhimu ni subira tu(subra)Sawa mkuu, hakuna asiyependa hela
KIjana nenda Kaibe vifaa vya ruwasa SSMkuu nimelamba ruwasa na stutus inaaoma selected for oral Web na app
cc watizi tuache kufikiria kuiba tuKIjana nenda Kaibe vifaa vya ruwasa SS
Mkuu na ww unataka kuamia kwenye pipa la asaliKwa PDF hili hakika naona matumaini ya foleni kusogea sasa angalau! Mungu ajalie waendelee hivi hivi na sisi wengine tupate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa, watu wanamoyo!!![emoji4]Hello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa? Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
Kitenge anawapa mawakala huku JF perday liteni,Hapo wanatoa kidogo kidogo kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia....boss mpk anazungumza vile Inamaana ameona mapungufu ya serikari....kama tamisemi wanatoa watu zaidi ya 9,000 washindwe utumishi...
Wakitaka waaminiwe na kutengeneza per diem nying wapunguze watu kuwaita Oral wengi (nafasi moja inagombewa na watu wanne hapo unategemea wasailiwa watajenga nn +cost ya dodoma)
Labda chuo Cha ulaya, USAHizi zote anapata mwajriwa wa Chuo?
Ukichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).Aisee,na hapo unakua usharipoti kituo cha kaz na barua? So unarudshwa tena kusubria sim iite[emoji848],au wanawajulisha mapema kabla kuripot?
[emoji23][emoji23], kabisa mkuuuu...nataka nikaogelee humo kwenye asali.Mkuu na ww unataka kuamia kwenye pipa la asali
Kwa hiyo username yako inaonyesha kuwa wwe n mziba mirija ya asali Kwa makamanda,Ishu ipo hivi makamanda, Iyo PDF ya database wakitoa kidogo kidogo sawa, wakitoa kwa pamoja sawa. Kama jina lako limepangwa litatokea tu na kama jina lako halijapangwa halitatokea hata wakitoa majina 1700+ kwa pamoja. Kuhusu kusema Utumishi wanatuweka njia panda kufanya mambo yetu sikubaliani nalo kwasababu Utumishi hawajakuambia eti usifanye biashara au usilime kisa unasubili PDF ya database. TUBADILIKENI MAKAMANDA, tusipende kila kitu kutoa lawama. MIMI BADO sijalamba asali ya utumishi ila hainizuii kufanya mambo yangu kisa eti nasubili PDF ya database. WAKE UP GUYS.
Sasa mzee, hizo LGA na MDA mwajir si almost pesa ya serikal kutoka hazina??Ukichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).
Sasa mwajiri ndio atakuambia ni lini utaanza kazi, hapo ndipo wengi wetu huambiwa watapigiwa simu, ambapo ndio muda wa kupigiwa simu unatofautiana kulingana na maandalizi ya mwajiri.
Mwajiri kama kashajiandaa mapema, haitachukua muda mrefu kukamilisha taratibu na kuwaita mkaanze kazi.
Point yangu ni kuwa, Waajiri wote hawezi kulingana mipango yao ya kupokea waajiriwa wapya ndio maana suala la kutoa placement ya MDA na LGA kwa mkupuo haliwezekani. Hata hivyo endapo likitoka kwa mkupuo, lazima kila mwajiri atakuwa na utaratibu wake wa kuwaita mkaanze kazi.
Sasa Bora ni kipi apo wewe unakiona kusubiri placement ambayo hujui utakuwepo, au usubiri kitephone ya kuripoti kaziniUkichukua barua PSRS(Masijala ya Wazi) unampelekea mwajiri pamoja na nyaraka(vyeti).
Sasa mwajiri ndio atakuambia ni lini utaanza kazi, hapo ndipo wengi wetu huambiwa watapigiwa simu, ambapo ndio muda wa kupigiwa simu unatofautiana kulingana na maandalizi ya mwajiri.
Mwajiri kama kashajiandaa mapema, haitachukua muda mrefu kukamilisha taratibu na kuwaita mkaanze kazi.
Point yangu ni kuwa, Waajiri wote hawezi kulingana mipango yao ya kupokea waajiriwa wapya ndio maana suala la kutoa placement ya MDA na LGA kwa mkupuo haliwezekani. Hata hivyo endapo likitoka kwa mkupuo, lazima kila mwajiri atakuwa na utaratibu wake wa kuwaita mkaanze kazi.