HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
MUNGU NI MKUU SASA NAMI NIMEONA JINA LANGU KWENYE LIST , HONGERENI MLIOPATA NA WOTE AMBAO HAMJAPATA TUENDELEE KUPAMBANA KWANI MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI SAHIHI,, NIKIANGALIA CHANGAMOTO NILIZONAZO KWELI GOD IS THERE NA ANAJIBU TUSIKATE TAMAA

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa Shukrani kwa neema hyo uliyoipata, kwani haikuwa jambo rahisi.

Pia, nakutakia kazi njema ktk majukumu yako mapya.
 
Hapo nmekuelewa boss[emoji1666]
 
Wadau naomba mtusaidie majibu ya hili swali

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivyo watoe placement then kuanza kazi ndo kutofautiane au unaonaje mkuu!
 
Nijuacho mimi, usipo ripoti hakuna tatizo zikitoka unaweza omba tena ila changamoto upate check no. halafu uache hapo ndo kimbembe.
 
Kuna Jamaa yangu mwez wa 8 mwaka jana alifanyaga interview za utumish mashirika mawili tofaut zilipishana kama week, majibu yalivyotoka akafaulu taasisi ya Kwanza akaanza kazi then baada ya mwez yakatoka tena mengine nayo amefaulu, so kwa kuwa alikuwa ameshapata kazi akahamua kubak huko huko taasisi ya kwanza, wale wengine wakaomba mtu mwingne tu from database nafas ikajazwa
 
Hii yote inapelekea ni ufinyu wa wafanyakazi mtu anahamua anavyotaka kutokana na uchache wa wafanyakazi hakuna anayekemea haya...?
 
Watu wanakaza ubongo, kusubili PDF ya 1,767 wakati wanaona kila PDF ikija inakuja na watu wa database.
Kiongozi !!!Kauli ya Mh.Mhagama kaisikilize vizuri!!!!Mtawafanya maboss zenu watolewe kwenye uboss kama wamewatuma kujibu hoja za Jobless unajibu hvy!!!!
Mama(Rais) bado anatumaini mawazo ya vijana ni neema kwake 2025 kuliweka taifa katika uwiano mzuri kama umeshamtambua.
Tujibu kwa hoja ukiona kwako ni ngumu bora kunyamaza...
Mungu atupiganie bestlooser wote tunaotafuta asali ya Utumishi kwenye data base ya 1700+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…