HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hawezi tena kuajiriwa SERIKALINI unless aongeze sifa za kuajiriwa mfano Kama ana degree apate masters ndiyo anaweza kuomba kazi inayotaka masters
 
Kuna mtu yeyote alifanya oral, ila baada ya matokeo au list ya watu kuitwa kazin kutoka na hakuwepo kwenye hio list, account yake kwenye app imebadilika kutoka kuwa selected for oral interview na kuwa not selected for oral interview
fafanua hii scenario, imekutokea mkuu?
 
Kamanda mim pia ni msaka mirija ya Asali. ila kuna mda inabidi tukubaliane na hali halisi na tuwaachie utumishi wafanye kazi yao as long as USHUHUDA WA DATABASE UNATOLEWA NA MEMBERS KIBAO HUMU. Mh.Mhagama alitoa kauli tu lakini ufanyaji wa iyo kauli utumishi ndio wanadili nayo. Wengi tulitamani PDF la 1700+ litoke feb lakin haikuw ivyo.
 
Ndio.. imebadilika baada ya watu kuitwa kazin. Hata baada ya kufanya oral, ilikuwa bado selected for oral. Imebadilika baada ya watu kuitwa kazin!
Sina uhakika boss but wakali wa hizi kazi wanadai kua after oral interview status ikibaki SELECTED FOR ORAL means UPO DATABASE.

Na ikiwa NOT SELECTED FOR ORAL,data base HAUPO.
 
Sina uhakika boss but wakali wa hizi kazi wanadai kua after oral interview status ikibaki SELECTED FOR ORAL means UPO DATABASE.

Na ikiwa NOT SELECTED FOR ORAL,data base HAUPO.
So hapo kuna pdf direct ambayo ni web na database ambayo ni apps kwa maana iyo nilivyokuelewa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…