Status zina maana gan kama ulikuta NOT SELECTED FOR ORAL na kazi umepataMimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
Mkuu, umeona eee! Nimemuuliza swali pia.Status zina maana gan kama ulikuta NOT SELECTED FOR ORAL na kazi umepata
Sijui kama nimekuelewa vizuri. Umesema umeandikiwa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App na umepata ajira juzi?
HAKUNA,aje hapa atoe ushahidi.HAKUNA i repeat,over[emoji41]Mkuu, usiseme hivo. Kuna wadau kwenye App wana NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW na PDF likaja wakawemo na wanalamba Asali ya Nyuki wadogo hapo TRA. Yes, I know them. Na humu wapo ni vile tu si kila kitu cha kuweka bayana. Tusipende kuweka neno liwe na maana ambayo sio maana yake.
Labda kazi aliyopata sio hiyo ya MDAStatus hazina maana gan kama ulikuta NOT SELECTED FOR ORAL na kazi umepata
Hebu punguza jaziba utueleweshe vizuri mimi sijakuelewaMimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
Shida sio kupata kazi, shida interview alizofanya zina status gan na yeye kapata kaziLabda kazi aliyopata sio hiyo ya MDA
Shida sio kupata kazi, shida interview alizofanya zina status gan na yeye kapataLabda kazi aliyopata sio hiyo ya MDA
Ni kaka angu mimi, nina access ya account yake Ajira Portal so, ningeweza screenshot nikutumie ila basi acha tubaki na kila mtu anachokiamini.HAKUNA,aje hapa atoe ushahidi.HAKUNA i repeat,over[emoji41]
Mm ndo nshasema NOT SELECTED,baba jane bye bye,akija mtu anipinge kwa fact[emoji1666]Ni kaka angu mimi, nina access ya account yake Ajira Portal so, ningeweza screenshot nikutumie ila basi acha tubaki na kila mtu anachokiamini.
Ila nina amini ipo siku atatokea wa kuweka hili bayana na utaamini Mkuu.
Mwanzo nilikuwa kama wewe, nilikua miongoni mwa hao walotoa ushuhuda huko juu. Baada ya kujihakikishia (kwa kuona mwenyewe, sio kuambiwa) kwa watu wawili, nili-comment humu mpaka nikaambiwa hao watakuwa wamepenyezwa na connection hapo PSRS.Mm ndo nshasema NOT SELECTED,baba jane bye bye,akija mtu anipinge kwa fact[emoji1666]
Ushahid wa NOT SELECTED upo mwingi sana huko juu. Seeing is believing.
Mm yan sijakuelewa not selected for oral na ajira umepata juzi!!?Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
Period! [emoji419]Hakim wa mwisho ni PDF, selected for oral interview manake umepass written na kufanikiwa kuingia oral, hakuna taasisi yeyote duniani inayotoaga signal za kua umepass oral interview na kua database, what if umepass oral wakakueka data base na nafasi ya kada yako isitokee tena?? Acheni kukaza mafuvu mwamuz wa mwisho ni PDF ya placement, zaman miaka ya 2014 ilikua utumishi wanakupigia cm na kukupa taarifa kua ulifanya usahili was taasisi x baada ya kukosa hiyo taasisi nafasi imepatikana taasisi y so tunakuandalia barua, na hapo ni baada ya nafasi kupatikana na ulifanya vizuri oral interview.
Au mnataka watu wawe wanachangia kwa majina yao original ndo muamini??
Wengi mnacomment kwa kupunguza mawazo na kujifariji, nowadays kila aliefanya oral anajua yupo database
Nafasi zilikua 100, oral mmeingia 300+ wote mnazan mpo database, sio rahisi hivyo
hiyo uliyopata ni from database or? na vp status ilikua inasomaje kwenye app mkuu??Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi
Mkuu, hawaeleweki hata wanachokisemea.Mm yan sijakuelewa not selected for oral na ajira umepata juzi!!?
Mkuu hakunaga mstari unaotenganisha kati ya waliopata kutoka database na waliopata direct, hata watu waliofanya interview tar 23/11/2022 kwa post za Accountant II zilikua 100 na auditor 11 zilikua 80, mbaka mda huu post za Accounting II Wameitwa 50+ na auditor II Ni 10+ Ila kila atakae itwa kwa hizo post lazima neno data base litajwe ilhali open post bado hazijatimia na hiyo tarehe haitojatwa tena. Ikitajwa nijulishe nikupe100khiyo uliyopata ni from database or? na vp status ilikua inasomaje kwenye app mkuu??
Mkuu Induction imemalizika?Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15 nikakuta NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW..Sasa hapo napo unajipa matumaini tena kuwa tusiamini status???... Status zina maana sana asa asa za kwenye app..za kwenye web hazibadilikagi