Hapo kweli sijamuelewa hata mimi aje atueleze baada ya kupata kazi vp status ikibadilika?Sijui kama nimekuelewa vizuri. Umesema umeandikiwa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App na umepata ajira juzi?
status ilikua inasomaje mkuuInterview ya kwanza na ya mwisho kwenda Dodoma ilikua sababu ya hiyo DataBase, nikajisemea nikikosa basi hata kwenye DataBase naweza tokea.! Ila baada ya kukutana na watabe wa kufanya interviews za utumishi mayb kafanya 7 written afu kaingia hata 5 Oral ila hawajawai itwa na wapo tu wengi wengi wengine Graduate wa 2014..kwenye kada yetu tangu 2015 kwenye Database ni mmoja tu anayejulikana wengine wote mchuzi moto nguna moto, Dj anajisemeaa Tunaanzaa mwanzoooooo
Mkuu kumbe umetokea SUA!!Sahihi mkuuu japo...
pdf ya jumatano imetoa watu 12- kutoka database wa kada yangu tuliyopiga february 2 mwaka huu, hazikua post za MDAs wala LGAs . nipost za WZara ya kilimo
hapana mkuu, nimepiga hapo jiji la makala
yaah mwendo wa facts tu, sio sijui niliona account ya dada mara ya kakaSelected for oral, nimehudhuria interview moja tu pekee!
I think soLeo kuna dalili kweli? Au lile pdf kutolewa J5, ndo kumaanisha ni pdf la wiki na la kufunga mwezi March?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kuna PDF lenye pages za kutosha la kufungia wik na mwezLeo kuna dalili kweli? Au lile pdf kutolewa J5, ndo kumaanisha ni pdf la wiki na la kufunga mwezi March?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hzi za ndani ama ramliiLeo kuna PDF lenye pages za kutosha la kufungia wik na mwez
Tunaishi kwa makisio tu psrs ni wasiri hatari hahahmkuu hzi za ndani ama ramlii
No.3 wanaonewa sana hao..Hii yote inapelekea ni ufinyu wa wafanyakazi mtu anahamua anavyotaka kutokana na uchache wa wafanyakazi hakuna anayekemea haya...?View attachment 2571709
Mzee baba Iringa pande gani? Au kikazi?Amen, PDF iliyoshiba kuliko ya jumatatu, anebisha aje anipige nipo Iringa nakula bagia
Mitaa ya kihesaMzee baba Iringa pande gani? Au kikazi?
Ramli chonganishimkuu hzi za ndani ama ramlii
Kaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake, kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.Umezungumzia point muhimu sana kuhusu panel, sikuwa nafikiria hili.
Naomba kuuliza swali:
Kutokana na maelezo haya kuhusu panel, nini athari yake endapo matokeo ya Oral yangekuwa yanawekwa wazi kama baadhi yetu humu kwa mara kadhaa wamehoji kuhusu matokeo ya Oral.
wakandaji pure " halooKaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake,kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.
Hii imeshaumiza wengi sana na mara nyingi placement ikija unakuta oannel moja ni kama ilikuwa kitonga nyingine ni wakandaji pure.
Nilikuwa Mkwawa jana hapo! Narudi next week mitaa hiyo..Mitaa ya kihesa
Ngoja tuone...Leo kuna PDF lenye pages za kutosha la kufungia wik na mwez