Hili nalo la kutazamwa..Kaka pannel hizi zimeua ndoto za watu wengi sana hasa hizi unakuta interviwe moja ina pnnela tatu mpaka nne,sisemi vibaya ila wahanga wa hili watakuwa wanajua changamoto yake,kuna pannel wao watakuambia mention wamalize chap na kuna pannel watakuambia explan na ni swali lile lile mmoja anataka maelezo mwingine anataka utaje.
Hii imeshaumiza wengi sana na mara nyingi placement ikija unakuta oannel moja ni kama ilikuwa kitonga nyingine ni wakandaji pure.
Mmmmh, yule ni mzee wa night na hivi leo ni mwisho wa wiki unaweza shangaa kitu ni saa nne usiku hukoPdf pdf tunaomini katika pdf, mida ya IT hii
Karibu sanaNilikuwa Mkwawa jana hapo! Narudi next week mitaa hiyo..
[emoji120][emoji120]Karibu sana
Leo sidhani nahisi mpka wiki ijayo hiyooMkeka mpaka next week sasahivi kila wiki pdf moja kubwa
Possible kukawa na mkeka Leo, let's waitLeo sidhani nahisi mpka wiki ijayo hiyoo
Simba Sports club au Simba wengine[emoji28]Leo nakesha nasubr simba wacheze so pdf likishuka mida ya night itakua unyamaView attachment 2572264
[emoji1787]SSC boss,WENYE NCHI[emoji41]Simba Sports club au Simba wengine[emoji28]
Na mimi naona kama huu ndo utaratibu sasa.Mkeka mpaka next week sasahivi kila wiki pdf moja kubwa
ZMwanzo nilikuwa kama wewe, nilikua miongoni mwa hao walotoa ushuhuda huko juu. Baada ya kujihakikishia (kwa kuona mwenyewe, sio kuambiwa) kwa watu wawili, nili-comment humu mpaka nikaambiwa hao watakuwa wamepenyezwa na connection hapo PSRS. Lakini ingekuwa connection alonayo ndugu yangu basi toka 2017 ningekuwa nishaanza lamba Asali huko Shirika la Umma moja linalosifika kwa utamu wa Asali yake. Anyway, ipo siku atatokea tu wa ku-expose hili.
Kila mtu ana connection ila hizo connection zinazidiana. Ila hao wa not ni michongo.
Ukiwa na not selected baada ya oral na ukalamba asali wewe utakuwa na koneksheni.Mmh pdf ndo kila kitu iz status kila Mtu ana yake na waliopata pia status zimepishana na waliokosa kadhalika Ivo Ivo na walioko database nao Wana zao so kikubwa pdf tu
🥱Ukiwa na not selected baada ya oral na ukalamba asali wewe utakuwa na koneksheni.
🥱Ukiwa na not selected baada ya oral na ukalamba asali wewe utakuwa na koneksheni.
Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW