Kijiji cha Wajinga
Member
- Dec 7, 2019
- 90
- 279
Mkuu tuweke akiba ya maneno, naimani siku cyo nyingi utaramba asali ya utumishi. Cjui hii post yako utaifuta au lah[emoji848]Yan ukisema uichunguze psrs step by step, utagundua mapungufu mengi sana, na ndio maana wamejazana humu JF kitetea maujinga Yao,
Psrs nyie ni TAASISI ya hovyo sana Yan
Kwa hyo mtu akilamba asali ndo mapungufu ya psrs kwake yanakuwa yameisha??Mkuu tuweke akiba ya maneno, naimani siku cyo nyingi utaramba asali ya utumishi. Cjui hii post yako utaifuta au lah[emoji848]
Kwa hiyo interval, pdf tuisubiri tarehe 4/4/2023The interval
View attachment 2572440
Au mnahisi wanaoilalamikia psrs ni kwa vile hawajalamba asali????
Well saidPigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.
Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?
Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.
Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.
PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.Pigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.
Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?
Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.
Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.
PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
Yote uliyoyaandika hayaondoi kiini cha huu uzi...Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.
Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,
Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.
Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.
We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.
Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.
Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.
Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.
Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.
Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Fact,Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.
Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,
Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.
Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.
We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.
Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.
Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.
Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.
Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.
Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
Well saidHiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.
Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,
Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.
Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.
We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.
Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.
Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.
Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.
Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.
Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Kamba ndefu sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2572708
Umeandika maneno mazuri ila bado hujagusa point ya muhimu ambayo ni:Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.
Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,
Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.
Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.
We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.
Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.
Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.
Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.
Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.
Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Humu ndani kuna mtu anapotosha umma ushahidi hana [emoji1787][emoji1787] cjui anatafuta engagement anajua ndo mada pendwa [emoji1787][emoji1787]Kamba ndefu sio[emoji23][emoji23][emoji23]
hio kauli ya kutokuwa mkamilifu ni ya kipuuzi na ndio inayochangia uvivu na ujinga mahala popote palePigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.
Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?
Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.
Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.
PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
Hongera,Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
01/04 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana kiongozi, kada gani na position gani?Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Hongera sanaUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana kiongozi! Bila shaka utakuwa umelamba utawala..Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].