HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana karibu sana, na wengine zamu zenu zinakuja mtalamba asali mpk iwapalie mtanishukuru baadaeee
 
Hongera sana
 
Is it true au kwa vile ni naniliii??
Leo
 
Hongera sana mdogo wetu hii ndo maana halisi ya surprise

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Foolish Day[emoji16][emoji16]
 
Hongera sana best,Sasa Jiandae Kesho uende DODOMA.Mungu ni mwema sana.Ukawe mtumishi mwema.
 

01/04 on 1&2.
 
Hongera sana
 
Hongera sana jmn I'm happy for you[emoji4]
 
New Wakala wa PSRS in Town[emoji3][emoji3][emoji3], karibu sana kwenye Uwakala.

Hongera sana, na karibu sana kwenye new era ya kuungwa kwenye mkongo wa Taifa wa Pipa la Asali.
 
1/4 kuna ukweli hapoo?[emoji848]
Eh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie jaman yesamrich km ulikuwa unafanya ile tabia ya tarehe ya Leo itabidi uje kuturudishia pongezi zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeeeee
 
Tumefika huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahha a
 
Hongera bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…