Kijiji cha Wajinga
Member
- Dec 7, 2019
- 90
- 279
Congratulation kijana. ushuhuda kama huu ndio watu tunataka, cyo kila dairly mtu akilala akiamka anawaza kuwakandia PSRS.Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Hongera sana yesamrichUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Kitaa kigumu Kiongozi!!!Hiyo ni kweli, wengi wanaolalamika huku ni hawajapata hiyo asali na matumaini yao makubwa yalikuwa kwenye data base napo wamekosa na ndio maana shutuma ni nyingi.
Angalia wengi waliokuwa wanalalama kabla hawajapata asali, walipopata umeshawahi wasikia tena hata hatua zingine umezisikia wakielezea zaidi ya kusema nimepata na kutoweka,
Mtu ambaye anakuja huku mara kwa mara kutupa moyo ni mwifa peke yake, lkn nae Naona mwisho atachoka maana kila anachoandika mnamkejeli kwa kumuita ni agent wa psrs, wakati alikuwa muungwana kabisa tangu siku ya kwanza aliposema amepata, ufuatiliaji wa barua Hadi kuajiriwa kabisa kwa mwajiri mpya, tena amewasaidia na wengine maana walikuwa hawaelewi baada ya kuchukua barua huko utumishi wanapeleka wapi.
Tujifunze kuwa na subira na kushukuru kwa kila jambo.
We kama umefanya written mara kadhaa maswali yamekugonga usiwakatishe wengine tamaa waache wapambane, nawe ulifanikiwa kuingia oral bahati mbaya jina halikurudi kama ulivotarajia shukuru pia next time upambane zaidi.
Asa mtu akiingia oral mara Moja anataka ndio apate yeye tu hapohapo wakati kuna wenzio wamehudhuria hizo oral mara kibao lakini Bado wana matumaini ipo siku yao itafika nao watapata nafasi.
Tushukuru kwa kila jambo kwakweli. Na Mungu atatubariki tusiwe wepesi wa kukejeli kila mara eti kisa umekosa nafasi.
Wenzako tupo mtaani zaidi ya miaka kumi sasa na hatujakata tamaa we unamiaka miwili mitano mtaani unalalamika kama umedhulumiwa kiungo chako chochote kinachokukwamisha kuendelea na majukumu mengine.
Na wengi wanaolalamika ndio mliokuwa mnajidanganya wakati mpo chuo kazi zipo tu, wakati we wakati unamaliza hiyo coz fikiria mbele yako wako watu wangapi wameshamaliza coz hiyohiyo na wangapi Bado wapo huko chuoni.
Maisha ni kupambana, ukikosa psrs sio mwisho wa maisha angalia ishu zingine na maisha yako yaendelee.
Kelele nyingi zilikuwa ni watu wa TRA na ASA. Hawa jamaa walikuwa na njaa sana inaonekana kitaa kiliwapigaPigia mstari, na huo ndio ukweli mchungu.
Hivi unajua wengi wetu humu huwa wanaondoka kabisa kwenye huu uzi pindi wakipata nafasi? Kule walipo au hata kama wapo hapa ila hawakomenti unafikiri wanalalamika?
Kwa ufupi mtu akishapata nafasi, mawazo kuhusu PSRS yanaisha kabisa na anabadili mawazo kufocus kwenye mambo mengine.
Nawaombeeni mpate nafasi ili nije nione kama mtalalamika tena.
PSRS ni watu kama sisi, na sifa ya mwanadamu ni kutokuwa mkamilifu na ndipo yalipo mapungufu kiutendaji.
Njoo nikuoe Sasa tupunguze ukali wa maishaUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Wewe bado ujanijua vizurMkuu tuweke akiba ya maneno, naimani siku cyo nyingi utaramba asali ya utumishi. Cjui hii post yako utaifuta au lah
Mkuu zamu yako itakuja, watu wanachomoka zamu kwa zamu agriculture officer ujae ili tukaitekeleze azma yetu ya ajenda 10/30.Ukiwaloga waloge pia jina langu waliweke coz sielewi
Ngoja niende pangani wanaleta ujinga hawaUkiwaloga waloge pia jina langu waliweke coz sielewi
Wanadhani utani ,ngoja waanze kutembea huku wamevaa vyupi kichwaniUkiwaloga waloge pia jina langu waliweke coz sielewi
Katika siku niliyopata furaha ni leo kuona unalamba Asali,,,Daaah hongera sana 💪 tena mno ukifika dom nitakupeleka free Masijala kuanzia makulu hongera mno sijui hata nisemejeUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Aisee hongera Sana mkuu,hii ni bonge la supriseUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Blessed sana broo!!Mkuu zamu yako itakuja, watu wanachomoka zamu kwa zamu agriculture officer ujae ili tukaitekeleze azma yetu ya ajenda 10/30.
Hongera mnoUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Sanaa chief, the time is comingBlessed sana broo!!
Unaniombea mema sana.
Pongezi ziende kwako trade officerUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Hizi ni taarifa za ukweli au hisia mkuu?Tuwe na subra wadau.
Database wanatoa kidogo kidogo.
Atakujibu PDF kuwahi au kuchelewa inategemea na uharaka wa mwajiriInterval za pdf zipoje chief, hatupasiki kuhangaika na lamli akati wewe mtumishi wa psrs upo na unatutakia mema vijana wenzako.
P-Value