HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanangu wote walio kanzidata wamekosekana manguli wa kujaza hizi posts???


Au washkaji wakiingia oral hawakamii show??
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?


Kama wewe ni kijana nashauri vitu viwili
1. Fuatilia uwekezaji wa serikali kwenye kilimo
2. Tafuta kazi nje ya nchi au kasome kama unaelimu ya chuo

Utakuja kunishukuru nadala ya kusubiri kazi za serikali. Technology itakata njia za rushwa ambazo wengi wanategemea na mshahara hautakutosha
 
Yaaan hata kabla ya aliyoyaahidi Mhagama kutimia ashatolewa
Mhhhh sasa huyu waliyemleta mhhhhhhhhh
Ngoja nikae kmya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…