Mbona kama unakua mpiga ramliNafikili database ipo, ni swala la muda tu. Mdogo mdogo watu watachomoka. Ila kuna cozi naziona kuwa na uwanja mpana wa kupata kupitia DATABASE. Mfano
ICT
KILIMO
ACCOUNTANTS hapa nawaona internal auditors n.k
TUTOR ASS
GAME WARDEN. kama kuna wengine nimewasahau tuongezee.
Lakin na sisi wengine tusikate tamaa inaweza kutokea bahati na tukapata nafasi. Let us discuss on this 1.
hawa watoto wake wanao dharau na kukejeli vyombo vya ulinzi,hawana ajira??Halafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
Watu wanapenda kauli za kujifarijihawa watoto wake wanao dharau na kukejeli vyombo vya ulinzi,hawana ajira??
Hongera brotherWadau nachukua furusa hii kumshukuru mungu na pia ninyi Kwa kunpa ushirikiano was kutosha hatimaye kupata Kaz kupitia mkeka was tar 24 wizara ya elimu
Hongera sana mkuu, kila la kheri na ukawe mtumishi mwemaWadau nachukua furusa hii kumshukuru mungu na pia ninyi Kwa kunpa ushirikiano was kutosha hatimaye kupata Kaz kupitia mkeka was tar 24 wizara ya elimu
Usikate tamaa ila umesoma course gani na ulifanya interview ya taasisi gan??Hapana boss mimi nilikosa placement ya juzi na naona kabisaaa course niliyosoma na nafasi niliyoikosa kwenye placement kutokea database ni aslimia chache sana japokuwa naamin DATABASE IPO.
Ulipiga post gani mkuu...hongera sn
Shukran sanaaHongera sana mkuu, kila la kheri na ukawe mtumishi mwema
Public administration taasisi MOCUUsikate tamaa ila umesoma course gani na ulifanya interview ya taasisi gan??
Ngoja tuishi na hii,Nafikili database ipo, ni swala la muda tu. Mdogo mdogo watu watachomoka. Ila kuna cozi naziona kuwa na uwanja mpana wa kupata kupitia DATABASE. Mfano
ICT
KILIMO
ACCOUNTANTS hapa nawaona internal auditors n.k
TUTOR ASS
GAME WARDEN. kama kuna wengine nimewasahau tuongezee.
Lakin na sisi wengine tusikate tamaa inaweza kutokea bahati na tukapata nafasi. Let us discuss on this 1.
Mm nmepata kupitia ICT so tuzid kuomba MunguNgoja tuishi na hii,
Tayari nime like, kusubr yatimie....
ujobless wake na wa kwetu ni vitu viwili tofautiHalafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
Sure kwao Wana Mali,hazina,ardhi,chakula cha kula na kusaza,magari,bima kubwa n.kujobless wake na wa kwetu ni vitu viwili tofauti
Kama ni nafasi ya kitaaluma, hii unapata kazi muda si mrefu mkuu.Public administration taasisi MOCU
Ni ya kufundisha mkuu?Mm nmepata kupitia ICT so tuzid kuomba Mungu
Na iwe hivyoKama ni nafasi ya kitaaluma, hii unapata kazi muda si mrefu mkuu.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Ulifanyaga interview ya eGaMm nmepata kupitia ICT so tuzid kuomba Mungu
Mkuu nikajua ushaotea cha database hahahUlifanyaga interview ya eGa