HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
Hivi wadau inatumika criteria gani kwa upande wa MDA na LGA kwamba huyu aanze kupata placement kabla ya mwengine au itakuwa ni marks?
 
Psrs NI taasisi ya hovyo sana
 
Ndugu mungu hasimamii watu walioshindikana
 
Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
Hiyo inaitwa karibu mgeni wenyeji tupone.
Kitenge kamkaribisha Simba kwa tupdf TU wili.

Ngoja tuone Simba atanguruma au atakuwa fisi maji anachekacheka TU 🤣
 
yah, ni marks ndio zinatumika. Placement yoyote ikitoka yule aliyejuu ndio aliyepata marks kubwa kushuka chini
Sawa basi mi mtazamo wangu nilijua waliofaulu oral za MDA&LGA kuwa walishapangiwa waajiri, sababu wakati wanatangaza tangazo la kazi waliweka na idadi ya nafasi hivyo nilijua idadi imetokana na vibali vya maombi vya taasisi chini ya mwamvuli wa MDA&LGA hivyo nikajua kuanza kupata placement inategemea na kuanza kutoka kwa jina la mwajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…