Na saa 24 upo hapa uta purchase na maneno? Hii violence yako ni ghadhabu ya kutokuwa mkekani sasa unahitaji sana counselling ndipo uanze ku purchase.Uncle tulia , Sema Nina mpango waku purchase workstation yenye nguvu Kwa ajili ya vitaasisi kama vyakwenu
Na saa 24 upo hapa uta purchase na maneno? Hii violence yako ni ghadhabu ya kutokuwa mkekani sasa unahitaji sana counselling ndipo uanze ku purchase.
Samba Mapangala katika kibao chake cha Dunia tunapia aliweka huu mstari " waongea kujenga ghorofa na HUNA KITU WEE, ACHA KIBURI NA MARINGO....".
Usiku mwema.
Naona ona dalili vile
Dalili zipi unaonaNaona ona dalili vile
Kwa namna web Yao ilivyokuwa haifunguki nahis kuna mzigo ulioshiba wa historia yake kama vile ilikuwa unapakiwaDalili zipi unaona
Njoja tuone had sanne usiku itakuajeKwa namna web Yao ilivyokuwa haifunguki nahis kuna mzigo ulioshiba wa historia yake kama vile ilikuwa unapakiwa
tunaishi kwa matumaini vileNjoja tuone had sanne usiku itakuaje
Hakuna kitu rahisi kwenye web development kama ku upload PDF/files, website kutofunguka hakuna uhusiano na kupakia files.Kwa namna web Yao ilivyokuwa haifunguki nahis kuna mzigo ulioshiba wa historia yake kama vile ilikuwa unapakiwa
We jamaa mbingu utausikia tu😂😂Wewe upo upande gani bro😃 au ndo psrs wamekukanda intensively na red cad juu.
Yaan hausubir database wala placement yeyote. 😂😂😂.
itakua ana NOT SELECTED kwaio mkiongelea kuhusu database ana tamani iyayuke kabisa😂😂nina wasiwasi atakuwa alitolewa kwenye makundi.😂😂😂
nina wasiwasi atakuwa alitolewa kwenye makundi.😂😂😂
hongera sana hahahahah aseee umekwepo unatetea kilio chako sana hatimaye umenyanyuliwa hahahahaUwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
unazngua me nmetoa comment kwa hisia na furaha japo sikujui kumbe una tufanyia mzahaWhat an April fools' day[emoji16]....
Thank y'all for your congrats anyways,might use them later[emoji23]
Haina noma Bob...Wanangu wa database ni muda wa kulala sasa, ili kesho tena tuamke na nguvu ya ku push ajenda
ngoja nijifunike shuka langu la buku hili, usikumwema watafutajiWanangu wa database ni muda wa kulala sasa, ili kesho tena tuamke na nguvu ya ku push ajenda
Daa, umeongea kwa hisia sana. Mungu awasimamie kwakweliMh.Waziri na N/w + Mh.Katabu (Psrs) kuwei kitu kimoja Kumpa Mama(rais) matumain anayoyataka kwa vijana wake kupata ajira!!!
Mngebonyeza buttorn la PDF data base(Mhagama alilotaka kuleta matumain kwa vijana kupata ajira) ata iwe tunaingia job mwenzi wa saba sawa ila tuishi kwa matumain kama tunaviongozi wenye hofu ya Mungu....
Eehhh Mungu awasimamie karila majuku yenu
Kitaa ni shida kwa bestlooser Mama(rais)