HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​


Mimi SIJUI waulize wenyewe
 
Au acha nisitie neno nisije nikaongea vibaya
 
Mbona wee kitenge kutwa unakesha humu kujibizana, Kwan huko PSRS huna Kaz y Kufanya?
 


Wage bill imesaturate.
 
Tuone leo kama kutakua na pdf ndefuu ,second selection tulambe asali hata kavu
Watanzania ni wavumilivu sana,basi tu ni vile tumerithishwa Amani na upendo.ila wanasiasa sijui wanatuona vipi maana hawana useroius hadi kwenye vitu nyeti..hii agenda naomba kama tunaweza tudeal na wawakikishi wetu ndani ya Bunge hasa kuelekea usomwaji wa bajeti wa wizara husika tarehe 19 ili wawabane wahusika tofauti na hivyo itakuja kauli nyingine mpya.
 
Wewe upo upande gani bro😃 au ndo psrs wamekukanda intensively na red cad juu.
Yaan hausubir database wala placement yeyote. 😂😂😂.
Ah ah mbona mm nmla asali mkubwa kitambo ,sio kama nyie wazee wa TGS d
 
Shida Iko PSRS ambako Kuna bureaucracy kuanzia usaili, kuchakata watainiwa, kuwa pangia watu vituo vya kazi, kuweka watainiwa kwenye database ku (mysqli_fetch) watu kwenye database.

Nakila mchakato Kuna posho za hapa na pale, aliyakuwa vijana huku kitaa wanalia, ila wao PSRS kilicho muhimu kwao first of all things 👉posho ikae mezani kwanza
 
Mwifwa happy birthday brother. What a good way to celebrate your first birthday kwenye pipa la asali.

All good things your way, chief.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ahsante sana mkuu, nilikuwa busy kidogo kufuatilia mjengoni nione kama wataanza kuzungumzia kazi yetu, nikasahau kama leo ndio tarehe inayofanana na ile niliyoletwa huku kwenye hii Sayari.

Kwa mbali Kitila katia neno.

Bila shaka ahadi ya Mhagama nayo inaweza kufikiwa!
 
HBD champ, kitila kagusia nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…