Inafikilisha sana aiseeHuwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Yaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Jaman tunajua tumepitia kwenye karai la mateso ila tunabidi tusahau na tuwe na positive mindset Ili tufanikiwe Kwa sababu Mungu ni mjuzi wa Kila kitu.Ila
Ila hali haikutakiwa kabisa kuwa hivi ,Dah ! Mungu amlaani milele aliyesababisha hii hali na iwe funzo ,mtu mmoja kwa maamuzi yake ya kukurupuka anaweza sababisha matatizo ambayo yanadumu vizazi na vizazi ,ndio kama hili suala , vijana wanalipia kwa ugumu wa ajira
Database mwisho miezi 6 MzeeYaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.
Ndio bado Kuna masalia ya jiwe, Hawa wote wapewe ubalozi wa ZimbabweJaman tunajua tumepitia kwenye karai la mateso ila tunabidi tusahau na tuwe na positive mindset Ili tufanikiwe Kwa sababu Mungu ni mjuzi wa Kila kitu.
Hopefully ni Kwa Raisi Samia naona ana njia njema sana na sisi vijana.
Kwakeli SS kama vijana tunaona akitoa makufuli yaliyofungwa na awamu iliyopita .
Sema bado Kuna Viongozi Wana mental za kidikteta za jiwe
Kwa style hii unaweza kuta ikapita miezi 6 mingineYaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio bado Kuna masalia ya jiwe, Hawa wote wapewe ubalozi wa Zimbabwe
Na Ndio maana tunamsisitiza taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe Ili kupunguza majukumu na bureaucracy ya PSRS, la sivyo vijana watazeekea kwenye Ajira portalKwa mwendo wanoutumia psrs unaweza kuta mtu tangazo la kazi lilitolewa akiwa na miaka 44 na miezi kadhaa placement inatoka anamiaka 46 hivyo anakua kakosa sifa ya kuingia kwenye mfumo ramsi wa ajira za serikali.
BureaucracyHuwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Inaleta maswali mengi sana yasiyo na majibuTangazo la kazi Lina idadi ya watu wanaotakiwa . Au kwenye tangazo mathalani wanaandika nafasi 100 wanajitungia?
Kosa lilipoazia Mama(rais)kumtoa Bashungwa Tamisemi .....Hiyo wizara kuiongoza inahitaji Maombi ya hali ya juuHuwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Ni fikira tunduiizi , lakin si dhan psrs wanaweza kutangaza Post ambazo wahajaombwa labda kama k/M awe ni mwehu,Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Kwanini sasa waite watu kwa kudonoa donoaNi fikira tunduiizi , lakin si dhan psrs wanaweza kutangaza Post ambazo wahajaombwa labda kama k/M awe ni mwehu,
mkuu bashungwa anahusikaje na utumishi?Kosa lilipoazia Mama(rais)kumtoa Bashungwa Tamisemi .....Hiyo wizara kuiongoza inahitaji Maombi ya hali ya juu
Mama apunguze majukumu kwa kiasi fulani TAMISEMI zipelekwe Wizara maana TAMISEMI imebase kila sehemuKosa lilipoazia Mama(rais)kumtoa Bashungwa Tamisemi .....Hiyo wizara kuiongoza inahitaji Maombi ya hali ya juu
Mkuu Unajua Tamisemi(MDAs&LGAs) ilikuwa inaendesha michakato ya Ajira yenyewe baadae Mh Bashungwa akaona yanayoendelea kule sio akaomba kibali utumishi isimamie usail.....mkuu bashungwa anahusikaje na utumishi?